Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Kwani ya Flora Mbasha aliitengeneza nani? Gwajima ni mchafu. Msimtetee na kumlinda
Uchafu wa Gwajima hauzidi uchafu na chuki walizonazo watanzania juu ya Double standard ya vyeti,hivi tusemeje ili mtuelewe?
N.B hakuna binaadam mkamilifu chini ya jua,sote tuna mapungufu hivyo si ajabu kwa G' kuzaa nje ya ndoa kama Prez' Da wa nchi tu anazaa nje ya ndoa ambae ni icon ya watanzania wote walio na dini na wasio na dini.... Masheikh wangapi wana watoto nje ya ndoa? Mapadri wangapi wana watoto wa zinaa,wachungaji wangapi wana watoto bwelele,chezea vyoote usichezee zipu kijana
 
Hapa tumetuma watu wakahakiki je hilo godoro lipo kwenye hicho chumba kabla ya DNA!
 
Pale mnapogundua na kumuona aliyefoji vyeti
 
Unafiki na ujinga tu, mmezoea kufanya fitna pale mnaposhindwa masuala mbalimbali ili kupindua hoja, mara hii hamtutoi kwa bashite, alete vyeti na aseme kwanii anatumia Mali za wauza unga

Acheni kumzushia Gwajima, na hata kama kweli kazaa na muumini wake kwani kavunja sheria gani ya nchi, hajambaka wala hajagushi cheti.

Hili ni jaribio dhaifu la kujibu hoja za nguvu kwa hoja zisizokuwa na mashiko. Eti kazaa na muumini wake duh!
 
Mie tokea nilisikiliza ile clip ya kumtukana Askofu Pengo, mmmmmh!
kweli ni mtoto aliyezaliwa kutoka katika kiuno cha mwanamme!! sina hamu naye
Mimi niliposikiliza ile clip, nilisema moyoni kuwa kweli kuna wanawake wanajua kuzaa vitu!!!!
 
Lizaboni kwenye nafsi yako ya ndani, huyu mtu wako unadhani kweli ni mzima? Is he not a psychiatric case? schizophrenic? pacemaker installation disturbed!
 
Mimi niliposikiliza ile clip, nilisema moyoni kuwa kweli kuna wanawake wanajua kuzaa vitu!!!!
Mimi ni mkatoliki, ule unafiki aliouonyesha Pengo sikuupenda. Kuna kauli tunategemea toka kwa mtu kama Pengo, akitoa maneno ya ajabu, utajibiwa bila kujali wewe ni nani? Wanaojitambua hawawezi kumheshimu Pengo au Mkuu wa kaya! kama unajitambua lakini!
 
Ambalo nina hakika nalo ni kuwa yeye ni katika manabii wa uongo ambaye kutokana kondoo kuwa wengi mjini amewakusanya na kuwakamua kidgokidogo.
Hilo nalo ni jambo la kheri yakhe
 
Gwajima ni mshenga wa lowasa kwa chadema.......mikutano yote ya ukawa jangwani yeye ndiye aliwakilisha kundi la viongozi wakristo!
Ni msanii flani hv amaizing!!
Tatizo liko wapi? Nyie si mnae pengo aliyegeuka kua kibogoyo au? Na alhadi shemeji yangu pia mnae, mna mrimonti kama mtoto mdogo kisa kijimsikiti cha Unga
 
Mchungaji gani anatembea na wake za watu na kuaribu ndoa? arafu eti wafuasi wake wanaenda kufunga pingu za maisha kwake,tafakalini!
Ningelikua mkristo hakii nongehamia kwa Gwajima,maana kule hakuna ufufuo na uzima tu Bali kuna ukweli uliowashinda wengi
 
Hata alivyomtesa Mbasha kwa my wife wake Florah
Flora mbasha mlisema ataolewa na Gwajima, je kadi za mchango wa harusi zinamtaja Gwajima? Wanaume muache ulege lege ona sasa malijari wanachukua chombo jumla jumla,bibie anatoka Ndoani anaingia kwenye ndowaaa
 
Paskali Bhuana sie hatutaki kusikia hayo, ni Mawazo yako ila kanisani Leo tutajaa hata kwa kupitia you tube
 
Paskali Bhuana sie hatutaki kusikia hayo, ni Mawazo yako ila kanisani Leo tutajaa hata kwa kupitia you tube
 
Uchawi haujaisha kachukue na wewe ututeke tulio salia,unalalamika nn sasa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…