Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Kwani ya Flora Mbasha aliitengeneza nani? Gwajima ni mchafu. Msimtetee na kumlinda
Uchafu wa Gwajima hauzidi uchafu na chuki walizonazo watanzania juu ya Double standard ya vyeti,hivi tusemeje ili mtuelewe?
N.B hakuna binaadam mkamilifu chini ya jua,sote tuna mapungufu hivyo si ajabu kwa G' kuzaa nje ya ndoa kama Prez' Da wa nchi tu anazaa nje ya ndoa ambae ni icon ya watanzania wote walio na dini na wasio na dini.... Masheikh wangapi wana watoto nje ya ndoa? Mapadri wangapi wana watoto wa zinaa,wachungaji wangapi wana watoto bwelele,chezea vyoote usichezee zipu kijana
 
Hapa tumetuma watu wakahakiki je hilo godoro lipo kwenye hicho chumba kabla ya DNA!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kuna video inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha mwanamke mmoja aliyezaa mtoto na Josephat Gwajima ambaye haihitaji hata DNA kubaini kuwa ni mtoto wake kwa jinsi walivyofanana. Huu ni ushahidi mwingine kuwa Gajima anatumia kanisa lake vibaya kwa tamaa zake za kimwili.

Bado tunakumbuka jinsi alivyovunja ndoa ya Flora na mumewe Mbasha baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kuzaa naye mtoto. Ijapokuwa alitumia nguvu nyingi pamoja na mamilioni ya fedha kuzima moto huo, ila laana ya Mungu bado inamtafuna. Sasa amejitokeza huyu binti mwingine na kushuhudia jinsi walivyokuwa wanafanya tendo la ndoa madhabahuni. Sina hakika kama kitendo hicho ni masharti aliyopewa na waganga wake kama njia mojawapo ya kuongeza waumini.

Kwa haya yanayotokea kwenye kanisa la Gwajima, upo uwezekano kuwa wanandoa wengi wanaosali na kuhudumu kanisani hapo wameshiriki tendo la ndoa na Gwajima. Kuna uwezekano pia kuwa watoto waliozaa wana damu ya Gwajima. Kwa hali hiyo, kuna haja kwa waumini hao kupima DNA za watoto wao ili kujiridhisha kama ni wao. Na ikibainika kuwa watoto hao ni wa Gwajima, wamburuze mahakamani haraka sana.

Wito kwa Gwajima. Kutumia nyumba za ibada kwa tamaa zako za kimwili ni dhambi kubwa sana. Utajibu nini mbele ya Muumba? Dhambi za waumini wako wote wanaofuata imani yako utajitwisha wewe na hapo itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Pale mnapogundua na kumuona aliyefoji vyeti
3c5095e5999d1a0b2baf9b4365a7e7d5.jpg
 
Unafiki na ujinga tu, mmezoea kufanya fitna pale mnaposhindwa masuala mbalimbali ili kupindua hoja, mara hii hamtutoi kwa bashite, alete vyeti na aseme kwanii anatumia Mali za wauza unga

Acheni kumzushia Gwajima, na hata kama kweli kazaa na muumini wake kwani kavunja sheria gani ya nchi, hajambaka wala hajagushi cheti.

Hili ni jaribio dhaifu la kujibu hoja za nguvu kwa hoja zisizokuwa na mashiko. Eti kazaa na muumini wake duh!
 
Mie tokea nilisikiliza ile clip ya kumtukana Askofu Pengo, mmmmmh!
kweli ni mtoto aliyezaliwa kutoka katika kiuno cha mwanamme!! sina hamu naye
Mimi niliposikiliza ile clip, nilisema moyoni kuwa kweli kuna wanawake wanajua kuzaa vitu!!!!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kuna video inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha mwanamke mmoja aliyezaa mtoto na Josephat Gwajima ambaye haihitaji hata DNA kubaini kuwa ni mtoto wake kwa jinsi walivyofanana. Huu ni ushahidi mwingine kuwa Gajima anatumia kanisa lake vibaya kwa tamaa zake za kimwili.

Bado tunakumbuka jinsi alivyovunja ndoa ya Flora na mumewe Mbasha baada ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na kuzaa naye mtoto. Ijapokuwa alitumia nguvu nyingi pamoja na mamilioni ya fedha kuzima moto huo, ila laana ya Mungu bado inamtafuna. Sasa amejitokeza huyu binti mwingine na kushuhudia jinsi walivyokuwa wanafanya tendo la ndoa madhabahuni. Sina hakika kama kitendo hicho ni masharti aliyopewa na waganga wake kama njia mojawapo ya kuongeza waumini.

Kwa haya yanayotokea kwenye kanisa la Gwajima, upo uwezekano kuwa wanandoa wengi wanaosali na kuhudumu kanisani hapo wameshiriki tendo la ndoa na Gwajima. Kuna uwezekano pia kuwa watoto waliozaa wana damu ya Gwajima. Kwa hali hiyo, kuna haja kwa waumini hao kupima DNA za watoto wao ili kujiridhisha kama ni wao. Na ikibainika kuwa watoto hao ni wa Gwajima, wamburuze mahakamani haraka sana.

Wito kwa Gwajima. Kutumia nyumba za ibada kwa tamaa zako za kimwili ni dhambi kubwa sana. Utajibu nini mbele ya Muumba? Dhambi za waumini wako wote wanaofuata imani yako utajitwisha wewe na hapo itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Lizaboni kwenye nafsi yako ya ndani, huyu mtu wako unadhani kweli ni mzima? Is he not a psychiatric case? schizophrenic? pacemaker installation disturbed!
 
Mimi niliposikiliza ile clip, nilisema moyoni kuwa kweli kuna wanawake wanajua kuzaa vitu!!!!
Mimi ni mkatoliki, ule unafiki aliouonyesha Pengo sikuupenda. Kuna kauli tunategemea toka kwa mtu kama Pengo, akitoa maneno ya ajabu, utajibiwa bila kujali wewe ni nani? Wanaojitambua hawawezi kumheshimu Pengo au Mkuu wa kaya! kama unajitambua lakini!
 
Ambalo nina hakika nalo ni kuwa yeye ni katika manabii wa uongo ambaye kutokana kondoo kuwa wengi mjini amewakusanya na kuwakamua kidgokidogo.
Hilo nalo ni jambo la kheri yakhe
 
Gwajima ni mshenga wa lowasa kwa chadema.......mikutano yote ya ukawa jangwani yeye ndiye aliwakilisha kundi la viongozi wakristo!
Ni msanii flani hv amaizing!!
Tatizo liko wapi? Nyie si mnae pengo aliyegeuka kua kibogoyo au? Na alhadi shemeji yangu pia mnae, mna mrimonti kama mtoto mdogo kisa kijimsikiti cha Unga
 
Mchungaji gani anatembea na wake za watu na kuaribu ndoa? arafu eti wafuasi wake wanaenda kufunga pingu za maisha kwake,tafakalini!
Ningelikua mkristo hakii nongehamia kwa Gwajima,maana kule hakuna ufufuo na uzima tu Bali kuna ukweli uliowashinda wengi
 
Hata alivyomtesa Mbasha kwa my wife wake Florah
Flora mbasha mlisema ataolewa na Gwajima, je kadi za mchango wa harusi zinamtaja Gwajima? Wanaume muache ulege lege ona sasa malijari wanachukua chombo jumla jumla,bibie anatoka Ndoani anaingia kwenye ndowaaa
 
Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo! Adai yeye ni zaidi ya Rais...
Huyu ni
Manabii wa Uongo na Tutawatambuaje?.
Kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo, tunayemwamini Bwana wetu Yesu Kristo, kabla hajapaa mbinguni, alituhusia kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".

Mchungaji Dr. Josephat Gwajima ni Nabii wa Kweli au Nabii wa Uongo?.
Hii ni thread ya swali kumhusu Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, Mchungaji, Dr. Josephat Gwajima, Jee ni Mtumishi wa Mungu wa Kweli?!, ni Nabii wa kweli au ndio wale manabii wa uongo aliowazungumza Bwana wetu Yesu Kristo?.

Akiwa katika mimbari, madhabahuni, mbele ya Mungu na wana kondoo wake, badala ya kuihubiri Injili na neno la Mungu lenye uzima na lenye kujenga upendo, amani na mshikamano miongoni mwa jamii, yeye anahubiri siasa kwenye nyumba ya ibada, tena mahubiri juu ya chuki dhidi ya binadamu mwingine hadi kumuita "huyu kiumbe"!.

Ni nabii wa uongo kwa sababu anahubiri uongo.
Uongo wa Gwajima ni Kumiliki Vyeti vya Daudi Albert Bashite na Paul Christian Makonda Mezani Kwake!.
Ila pia Mchungaji Gwajima amedai, anavyo vyeti vyote ofisini kwake tangu cha Daudi Albert Bashite alichopata Divisheni 0, hadi cheti cha Paul Christian alichounganishiwa na Christina!, na kudai kuwa ana mshitaki Makonda kwa Ndalichako na kwa Magufuli, na asipochukuliwa hatua zozote, yeye atashangaa sana na atavitoa vyeti hivyo hadharani, umma uvione. Jee hii inaweza kuwa kweli?, huu sio uongo mwingine wa mchana kweupe?!. Hili la Mchugaji Gwajima kudai anavyo vyeti vya Daudi Bashite na Paul Christian, kwa maoni yangu, huu ni uongo!, kwa sababu nijuavyo mimi, mtu ulikuwa ukipata Div. 0 hupewi cheti chochote na NECTA zaidi ya Leaving Certificate, Leaving huwa haionyeshi umepata nini, sasa hicho cheti cha Daudi Bashite alichonacho Mchungaji Gwajima, kinachoonyesha Daudi Bashite alizungusha, Gwajima amekitoa wapi?. Kwa vile Daudi Bashite alifeli darasa la saba Nyanza, hawezi tena huyo huyo Daudi Bashite akajiunga na Shule ya Sekondari ya Pamba ambayo ni ya serekali, bali Daudi Bashite baada ya kufeli darasa la 7, hapo ndio mwisho rasmi wa jina la Daudi Albert Bashite, hivyo mtu aliyejiunga na shule ya sekondari ya Pamba, sio Daudi Bashite, bali alitumia jina la mwanafunzi mwingine aliyefaulu, hivyo Mchungaji Gwajima, hawezi kuwa na vyeti vya Daudi Bashite vinavyoonyesha kuwa alizungusha. Kwa kifupi, hakuna Daudi Bashite yoyote aliyesoma sekondari, Daudi Bashite original, aliishia darasa la saba!, hivyo kama Mchungaji Gwajima, anadai, anavyo vyeti vya Daudi Bashite, vinavyoonyesha alipata Div 0, huu utakuwa ni uongo!, ila mtanisamehe sana, sisi wengine tuu miongoni mwa wale wenye imani haba kamaTomaso, hatuamini mpaka tuone!. Kwa hapa naendelea kumwita Mchungaji Gwajima ni muongo hadi pale atakapo vitoa vyeti vya Daudi Bashite hadharani tuvione ndipo nitaamini!.

Jee Maneno na Matendo ya Mchungaji Gwajima ni Kama Yesu, ni ya KiMungu?.
Swali ni jee huu ndio utendaji wa watu wa Mungu, kuwatakia wenzao mabaya?, kuwazushia uongo mchana kweupe tena madhabahuni kwenye mimbari ya Mungu?!. Yesu alitufundisha, "tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari, na tumpe Mungu yaliyo ya KiMungu, kwanini Mchungaji Gwajima, analeta ya Kaisari mezani kwa Bwana?!. Jee huyu Mchungaji Gwajima, ni mchungaji wa Mungu au ni wa mungu?. Mchungaji Gwajima kama mtu wa Mungu wa kweli, anaweza kweli kusema uwongo kama ule madhabahuni kwa Bwana?!. Jee huyu ni mchungaji wa kweli anayemtumikia Mungu wa kweli, au ndio wale wachungaji aliyewasema Bwana wetu Yesu Kristo kuwa "kutajitokeza manabii wa uongo, ambao watahubiri neno na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sii wangu". Wanafunzi wake wakamuuliza, "Jee tutawatambuaje?", Bwana Yesu akawajibu, "Mtawatambua kwa matendo yao".
Jee kwa matendo kama haya, kuna kitu chochote cha kutambua?.
Mchungaji Gwajima ni Nabii wa Mungu, au nabii wa mungu?.
Japo nimewahi kushiriki Ibada kwa Mchungaji Gwajima, naomba mimi nisiseme kitu bali msikilize mmoja wa waumini wake ambaye pia ni mwanachama mwenzetu hapa jf.

Kwa ushuhuda huu mtaona tuhuma unga kwa Mchungaji hazikutolewa na Makonda kwa wivu wa helicopter au vita vya Jimbo bali Makonda alipewa majina na akayaanika.
Na ukimsikiliza Gwajima hapa, utakubaliana na mimi huyu jamaa sio mzima kabisa japo haokoti makopo.
[QUOTE="Mulhat Mpunga, post: 20009921,

Paskali

Paskali Bhuana sie hatutaki kusikia hayo, ni Mawazo yako ila kanisani Leo tutajaa hata kwa kupitia you tube
 
1. Ni msukuma anayetumia uchawi wa gamboshi kuwalagai wafuasi wake

2. Ni mtu aliyejitangazia uchungaki, uaskofu mwenyewe bila kuwekewa mikono na mtu yeyote

3. Ni mtu anayejiita ' DOCTOR" lakini haijulikani alisoma lini na wapi hiyo PHD hewa na kama vyuo alivyosoma( if any ) vinatambuliwa na TCU

4. Ni mropokaji anayesema anatumia watu " MAKOMBORA" wakati hiyo sio sifa ya ukristo

5. Anamiliki helcopter mbili na mali za thamani kubwa lakini kanisa kaezeka kwa mabanzi na mabati ya ......?
Uchawi haujaisha kachukue na wewe ututeke tulio salia,unalalamika nn sasa!?
 
Back
Top Bottom