Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

Unajua kazi ya askofu ni nini au ndo mwisho wa dunia
Hivi hii tanzania wenye vyeki feki ni wangapi na kwan cheti ndo kinafanya kazi wangapi mpaka leo hawajasoma lakini kqzi wanafanya kwa kwenda mbele

Hayo maswali kamwulize MH Magufuli
 
Mnangoja nini kwenda upesi mahakamani kumshtaki Askofu Gwajima kuwa mwongo ?

Usitafute kudharauliwa bila sababu ya msingi Paskali. Unachobisha ni nini hapo na kwa faida ya nani kupotosha ?

Kwa taarifa yako, si rahisi waumini na wafuasi wake wakamsikiliza kiumbe mwingine zaidi ya askofu Gwajima katika kanisa lake.
 
UMESEMA KWELI, NA UKWELI KWA KAWAIDA UNAUMA !
 
Mchungaji gani anatembea na wake za watu na kuaribu ndoa? arafu eti wafuasi wake wanaenda kufunga pingu za maisha kwake,tafakalini!
Mkuu, kuna mwanamuziki wa bongo fleva anataka kuanzisha kanisa. Na atawapata tu waumini. Hiyo ndiyo Tanzania ya mwendokasi. Vichwani mwa watu kuna mipango ya baadae ambayo ni sinema za comedy, tena zenye kuuza vizuri sokoni.
 
Anaifanya misukule irudi barabarani!

Hahahaaaa basi atamrudisha pia huyo dada kwa kutaka kwake na siyo kwa kushiikizwa.

Hata kipindi cha Yesu watu walikufa kama kawaida ila aliwafufua 3 tu.
 
 

Attachments

  • IMG_20170306_115910.jpg
    112.8 KB · Views: 26
Nashukuru sana kaka Pascal, naendelea kuitunza kwa umakini mkubwa heshima yako tokea nimekufahamu hasa Enzi zile za KITI MOTO ya Masai studio. Sitaki kuingia ndani sana kuhusu HOJA zako cause name naweza kukosea zaidi kwenye haya masuala ya IMANI but one thing which I have noted from you brother regarding the issue of these two brothers, yaani mhe RC na askofu Gwajima; nahisi kaka UNAO UPANDE kwenye hili so you better declare the conflict of interest. Unakumbuka uliisha wahi kuhoji ukweli wa jina Bashite na kwamba ulitaka watu waende huko kwenye hizo shule alizosomea and may be hata kijijini kwao? Haya sasa Gwajima ndio akaanza just some few days after your request (sina hakika kama na Gwajima nae hua anapitia humu) and again gazeti la Mwanahalisi nalo ndio sijui limefanyia kazi OMBI lako, wametia team huko kijijini na wameonesha hadi shule alio soma (kwamba ni kweli au sio kweli kuhusu taarifa yao, hilo ni jambo lingine) sasa tena kaka unakuja na proves za vyeti. Kwenye ule uzi nilisema hivi; chunguza tu mwenendo wa mtuhumiwa, mbona kama yeye mwenyewe kapoteza kujiamini? Mara aombe masheikh wamwombee, mara Jumapili ya Juzi katia team kwenye kanisa ambalo sio kanisa lake (tunaweza singizia issue ya ukuu wa mkoa kwamba anaweza sali popote) cant you reason that brother? Well, tulio pembeni tupo tunaendelea kuusoma mchezo.
Nimealizie tu kusema, yawezekana Gwajima na wote waliotajwa wakawa kweli wanafanya hiyo biashara but again njia iliotumika kuwaumbua ukithubutu tu kuwapeleka mahakamani utajikuta unalazimika kuwalipa badala ya wao kuadhibiwa, why? Huna ushahidi. Na hilo ndilo ambalo wengi wanamlaumu mhe RC, laity kama angetumia njia za kikachero may be hawa jamaa wangeumbuliwa vibaya sana and we could see it even ourself, sasa hvi inabakia kuoana tu kama kuna visasi vya kisiasa hasa ukichukulia karibu wote hao wamekua wana andamwa sana na issues zingine yaani Mbowe, Gwajima, Manji nk.
 
Hahahaaaa basi atamrudisha pia huyo dada kwa kutaka kwake na siyo kwa kushiikizwa.

Hata kipindi cha Yesu watu walikufa kama kawaida ila aliwafufua 3 tu.
Hashinikizwi.ila aliahidi kumrudisha na bado tunangoja. Ahadi ni deni.
 





Duh njaa shida .
 
Gwajima ni mashine...nachojua bashite kwene hii bifu na gwajima atakimbia tu........maan anakwambia mm nikikupiga nakupiga kweliii
 
Pengo alichemsha akalipwa cash,wala hakukopeshwa.
 
Aisee nimesoma nikitegemea kuwa kuna point kumbe ni chai ya rangi bila sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…