Yeye mwenyewe hakuelewi! hivyo HamuelewaniHuyu mchungaji sijawahi kumuelewa kamwee
Sasa kama akili yako kisodaa utamwelewaje?!Huyu mchungaji sijawahi kumuelewa kamwee
Angeunga mkono alichokisema Askofu Gwajima dhidi ya Serikali ya CCM na Rais Samia unayemchukia nina uhakika ungemuelewa. Mnafiki mkubwa Wewe / Wanafiki wakubwa nyie.Huyu mchungaji sijawahi kumuelewa kamwee
Angeunga mkono alichokisema Askofu Gwajima dhidi ya Serikali ya CCM na Rais Samia unayemchukia nina uhakika ungemuelewa. Mnafiki mkubwa Wewe / Wanafiki wakubwa nyie.Haeleweki huyu naye
We jamaa ni mnafiki sanaAngeunga mkono alichokisema Askofu Gwajima dhidi ya Serikali ya CCM na Rais Samia unayemchukia nina uhakika ungemuelewa. Mnafiki mkubwa Wewe / Wanafiki wakubwa nyie.
Angeunga mkono alichokisema Askofu Gwajima dhidi ya Serikali ya CCM na Rais Samia unayemchukia nina uhakika ungemuelewa / mngemuelewa. Mnafiki mkubwa Wewe / Wanafiki wakubwa nyie.Ndio maana KKKT walimfukuza Uchungaji.
Mwendawazimu mkubwa huyu.
Unaunga mkono uuaji, utekaji na upotezaji wa watu?Angeunga mkono alichokisema Askofu Gwajima dhidi ya Serikali ya CCM na Rais Samia unayemchukia nina uhakika ungemuelewa / mngemuelewa. Mnafiki mkubwa Wewe / Wanafiki wakubwa nyie.
Ndiyo umejua leo Mkuu? Pole sana ila nakubaliana kwa 101% yote ambayo Mchungaji Richard Hananja anayoyasema / aliyoyasema katika hiyo Press. Piga Pini tu Vikanisa Vikanisa Kudadadeki.We jamaa ni mnafiki sana
Una uhakika kuwa waliofanya hayo ni Rais Samia au Usalama wa Taifa (Wasiojulikana) au CCM? Nipe USHAHIDI KUNTU nami niunge mkono alichokisema Askofu Gwajima na Wapuuzi / Wanafiki wengine.Unaunga mkono uuaji, utekaji na upotezaji wa watu?