LGE2024 Mchungaji Israel Ernest Ngatunga aelezea sababu ya kupigwa tofali, asema CCM walikuwa wanawalaghai watu kuwaandikisha kwenye daftari lisilo rasmi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Maccm ni Hamas!
 
Kama ni kweli anachosema mchungaji, basi hali ni tete. Serikali inabidi Ichukue hatua za kisheria.
Wote wahusika wametenda kosa la jinai kwa kuingia utarstibu wa uhandikishaji wa wapiga kura
Kabla hujacomment tafakari unaongelea serikali gani? Hii ya ccm? Unakumbuka mh mchengerwa aliahidi mbele ya mwenyekiti kwamba hakuna mtaa utaenda upinzani
 
Kwa kipimo chochote kile, CCM kwa sasa ni chama cha mashetani. Hakuna jema, chama hiki kinawaza wala kulipanga kwaajili ya watanzania. Chama kimejaa uovu mtupu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…