sasa huoni kwamba mchungaji mwenyewe ndio hasa mwenye tatizo?
kabisaa umeona na kukiri daftari sio rasmi na bado unang"ang"ana nalo mpaka ukapigwa.
Je kama walikua wanakusanya rambirambi kwa ajili ya kufanikisha safari ya mwisho ya mwenzao, wewe ilikua inakuhusu nini na hawakuhitaji msaada wako?
Na je,
ikiwa walikua ni timu ya mpira wa miguu, walikua wanakusanya chochote kitu kutoka kwa wadau kisha wanaorodhesha kwenye daftari lao ili hatimae waende kwenye mechi, wewe ilikua inakuhusu nini?
haya sasa upepigwa upper cut chembe la kidevu, umsaidia nini au umefaidika na nini eti baba mchungaji?🐒