Mchungaji Kapola na Mke wake naona wana akili za kimasikini sana

Kiufupi ninakuunga mkono.kwanza mm nikimwonaga mtu anatumia namba plate yenye ubinafsi naonaga ni bonge la limbukeni.wapo watu wanasukuma mabuggati hapa mjini na social medias haziwafahamu.
 
Mnapangia watu namna ya kula pesa walizotafuta wenyewe!
Najua na wewe ni mfuasi wa mill tower phase two in second floor.Sisi hatumpangii mtu.shida ni ulimbukeni,kulikuwa na umuhimu gani mujisifu wakati wa kumtukuza MUNGU.what's magari katikati ya ibada kama sio ulimbukeni.hata kama anagranadier mbili na wranger ya MAMA P tukiachana na discovery5 anayo zurulaga nayo masaki na jina la PASTOR T,kulikuwa na maana gani?
 
Mimi sio mkiristo wala....

Nadhani haya ni maoni yako binafsi kuhusu watu wenye pesa wanavyotakiwa kuzitumia. Ushauri mzuri ni wewe zako zitumie unavyoona ni sahihi.....za wengine wazitumie wanavyoona ni sahihi mkuu.
 
Sawa.
 
Na hawa wanaokosoakosoa matumizi ya watu wengine maisha yao halisi utacheka wanaishi kama wapo motoni na pesa wanazo wabongo nawajua vizuri sana...
Kila mtu aishi kutokana na anavyoona yeye inafaa pana mtu saa hizi anapanda pipa kwenda kula bata Singapore wahuni wakijua utasikia kelele kama walimsadia kutafuta vile..
 
Ni kweli,sio masikin ila sema hvyo vitu unAkuta ana ushamba navyo yaan kaanza kuwa nAvyo karibu ukubwan
Niliwahi kuwa na demu amekulia ktk umaskini wa kutisha. Gari Toyota Vitz akawa anaiona kama Prado fulani hivi, akdrive anaongea balaa, full kuimba na nyimbo kedekede, daaah sitaki hata kumbuka.
 
Hawa watu , they are poor. And they will die poor .

Materials things like Car, house is nothing ikiwa una akili ya kimasikini.
Materials things like Car, house is nothing❌
Material things like a car and a house are nothing.✅
Mwandiko wako haujifichi. Sasa kasirika tena🤣🤣🤣.
 
kama lijitu limekulia kwenye makota ya askari unategemea kuna kitu hapo kichwani? ni mawazo ya kimasikini tu hakuna namna ndio maana analeta shobo za kisengerema.
 
Materials things like Car, house is nothing❌
Material things like a car and a house are nothing.✅
Mwandiko wako haujifichi. Sasa kasirika tena🤣🤣🤣.
Lazima uwe bilionea , mwaka huu na lazima umiliki ma AMG, tena ya kuebdea shambani na utajiri uko pie na fic
 
Back
Top Bottom