Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mchungaji Mmoja ambaye ni maarufu sana huko Mkoa wa Geita amesikika akihubiria Mamia ya umati wa watu akisema Mungu ana kusudi na Tundu Lissu.
Amesema yeye angekuwa Lissu angeokoka na kuacha siasa na kugeukia uchungaji.
Mchungaji huyo ambaye awali aliokoka baada ya kutumikia Shirika la Siri la Freemason kwa miaka mingi amefunua mambo mazito.
Aliwahi kudai kuwa yeye na kundi la freemason walihusika kumchukua Msanii mmoja wa Bongo Movie kwa njia ya mazingara pale njia panda ya Mwenge kuelekea kiwanda cha Cocacola. Hadi leo anashuhudia watu akisema yule msanij hakufa na hadi leo yuko hai huko kwa Shirika.
Nimeshtushwa na ujumbe huu mzito kutoka kwa Mtumishi wa Mungu.