Mchungaji Katekela: Ningekuwa Lissu ningeokoka na kuwa Mchungaji, Mungu anakusudi naye

Mchungaji alitakiwa kuelewa Mungu amegawa karama tofauti tofauti kwa watu tofauti tofauti.Na kumtumikia Mungu si lazima usimame madhabahuni/kuhubiri au uwe kiongozi wa kiroho mchungaji.Roho ni yule yule wa Mungu aliye ndani ya kila mtu wake anatenda kazi ndani yetu Hata katika SIASA Roho wa Mungu anaweza kumtumia mtu kufanya kazi ya Mungu kwa haki na ujasiri akiongozwa na kusaidiwa na Roho wa Mungu vile vile.

1.KIFUPI MUNGU HUINUA WATU WAKE nje ya madhabahu za kanisa na ndani ya kanisa sio lazima wote wawe wachungaji au wawe wanasiasa,

2.KUMTUMIKIA MUNGU AU MUNGU ANAWEZA KUMTUMIA MTU kufanya kazi yake akiwa nje au ndani ya kanisa.akawa mchungaji au akiwa mwanasisa au katika angle yoyote mtu aliyopo anaweza akatumiwa kimtumikia Mungu na wote wakatenda kazi ya Mungu ,karama mbalimbali tofauti tofauti kwa watu tofauti tofauti,ila ROHO na nguvu ya Mungu ni ileile.
3.HATA KWENYE SIASA na sekta nyingine zote pia kunahitajika watu wenye Roho ya Mungu wa HAKI kama kwenye sekta ya uchungaji.(uongozi wa kiroho).
Full stop.
 
Mchungaji Mmoja ambaye ni maarufu sana huko Mkoa wa Geita amesikika akihubiria Mamia ya umati wa watu akisema Mungu ana kusudi na Tundu Lissu.

Amesema yeye angekuwa Lissu angeokoka na kuacha siasa na kugeukia uchungaji.

Mchungaji huyo ambaye awali aliokoka baada ya kutumikia Shirika la Siri la Freemason kwa miaka mingi amefunua mambo mazito.

Aliwahi kudai kuwa yeye na kundi la freemason walihusika kumchukua Msanii mmoja wa Bongo Movie kwa njia ya mazingara pale njia panda ya Mwenge kuelekea kiwanda cha Cocacola. Hadi leo anashuhudia watu akisema yule msanij hakufa na hadi leo yuko hai huko kwa Shirika.

Nimeshtushwa na ujumbe huu mzito kutoka kwa Mtumishi wa Mungu.
tatizo ana mdomo na tamaa sana isingewezekana 🐒
 
Hawa watu wana upeo mdogo, mbona Lissu yupo akiendelea kufanya kazi sahihi kuliko za hao wachungaji?
 
Mchungaji Mmoja ambaye ni maarufu sana huko Mkoa wa Geita amesikika akihubiria Mamia ya umati wa watu akisema Mungu ana kusudi na Tundu Lissu.

Amesema yeye angekuwa Lissu angeokoka na kuacha siasa na kugeukia uchungaji.

Mchungaji huyo ambaye awali aliokoka baada ya kutumikia Shirika la Siri la Freemason kwa miaka mingi amefunua mambo mazito.

Aliwahi kudai kuwa yeye na kundi la freemason walihusika kumchukua Msanii mmoja wa Bongo Movie kwa njia ya mazingara pale njia panda ya Mwenge kuelekea kiwanda cha Cocacola. Hadi leo anashuhudia watu akisema yule msanij hakufa na hadi leo yuko hai huko kwa Shirika.

Nimeshtushwa na ujumbe huu mzito kutoka kwa Mtumishi wa Mungu.

Kwani yeye kaokoka ?? atoe ushahidi kuwa yeye kaokoka
 
Ushauri wangu ni kuwa ungefanikiwa kuwabadikisha waenguaji wasimamizi wasaidizi wala usingeomba kumbadilisha Lisu angekuja kukuomba abadilike.
 
Ni kweli Mungu analo kusudi na Mh. TAL...
Hakika hapo alipo TAL alikwishakuokoka! Kusudi la Mungu ni kuiponya nchi kupitia huyu nguli..!
 
Ushauri wangu ni kuwa ungefanikiwa kuwabadikisha waenguaji wasimamizi wasaidizi wala usingeomba kumbadilisha Lisu angekuja kukuomba abadilike.
Ajikite maombi ya kuzuia wasiojulikana
 
Back
Top Bottom