Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

Wewe unajua Adam aliishi wapi?

Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!


Mchungaji anatumia biblia ipi ?? Satanic Bible , Queen James Version au King James version ??
 
Kwa sababu,
  1. Population pyramid yake haina wazee wengi.
  2. Kwa sababu magonjw ayasioambukiza kama Pressure na Kisukari si ya kiwango cha juu kama kwa wazungu na waasia.
Hizo zingine ni porojo tu!
 
"Tafakari jinsi watu wa kale walivyoweza kutumia laser beam kunyanyua mawe makubwa ya uzito wa tani mia moja kwa jiwe moja na kuyapanga mpaka kujenga pyramid"lenye urefu wa futi 4000
 
Nimesikiliza huyu mchungaji anauza watu kwa siasa zake na KISSM. wamekaa wanapewa story za uongo nao wanakubali.
Huku changa moto ya kupumua inaondoka Na watu kila siku
 
Huyo au hao wachungaji na mitume na manabii tena watuombe msamaha kwa kukaa mbali na Mungu wakashindwa kuona maono ya huu ugonjwa.

Tena watubu kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…