Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)


Hili Ndiyo tatizo letu hakuna wanasayansi wanao ongelea Corona ni watu wa dini na wana siasa. Hao PHd wako wapi?
 
Binadamu wa kwanza kisayansi au kidini. Lugha gongana. Kwani kina Zinja.. ndo kina Adam?
 
Kumbe ni HADITHI.... okay
 
Mambo haya ya COVID-19; kubakia kimya saa nyingine nayo huwa ni busara...!!
 
Wewe unajua Adam aliishi wapi?

Anyway mchungaji amesema " hata" sayansi inaamini binadamu wa kwanza aliishi Tanzania!
Ndo unaulizwa hivyo! Unaamini fubu la Olivia lilikuwa la Adamu.Endeleeni kuwasikia janabi wa uongo ambao Mungu hajawatuma kusema maneno wanayodai ni maono kutoka kwake."MTAISHA"

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwa ADAMU alifanya kuhamishwa tu kutoka Africa to EDEN [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kheeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…