johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mmmh hatariiii hii Injili ya kimaroMchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
Kwahiyo kwa akili zako,watu tukomae kukuza umaskini kwa baadhi ya watu na utajiri kwa baadhi ya watu i.e kuwe na gap?Amekosea... kila mtu ana umuhimu wake.
Hao anaosema ni maskini ndo huwa wanatenga mda wa kuja kudeki kanisani na kufanya usafi wa mazingira.
Hekima ipi?AMESEMA UKWELI ILA 'Hana hekima ya kuzungumza' AMEROPOKA NA KUFOKA.
Kwa akili yako wewe unadhani gap la maskini na matajiri litakaa lipotee?Kwahiyo kwa akili zako,watu tukomae kukuza umaskini kwa baadhi ya watu na utajiri kwa baadhi ya watu i.e kuwe na gap?
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
Iñjili ya huyu jamaa aisee...Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
Kajitafakari, kaja na mpya!ndio yule mchungaji aliyepewa likizo ya kujitafakari?
Kimaro kapanua tundu la sindano!Iñjili ya huyu jamaa aisee...
Halafu eti ni rahisi ngamia 🐫 kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu
Nimekubali aiseeKimaro kapanua tundu la sindano!
Hii story inaibukaga kila wakati wa pasaka
Sio mpya na inajulikana ipo kwenye biblia