Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sheikh PondaShemponda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheikh PondaShemponda
Lete andiko!
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
Hiyo ipo automatically huhitaji kukomaaKwahiyo kwa akili zako,watu tukomae kukuza umaskini kwa baadhi ya watu na utajiri kwa baadhi ya watu i.e kuwe na gap?
Hiyo sio kweli ya Mungu, kweli pekee ina Mungu wetu.AMESEMA UKWELI ILA 'Hana hekima ya kuzungumza' AMEROPOKA NA KUFOKA.
Ufalme wa mbingu ni stori za kusadika,,,na ndio hizo zinawapumbaza watu waendelee kuishi kizembe huku hao wanao yahubiri hayo wakiendelea kula mema ya dunia hii,,Ishi sasa kadri uwezavyo,,, Habari za kusadikika utakutana nazo huko huko,,,(mbere kwa mbere)in Magu's Voisi!!Iñjili ya huyu jamaa aisee...
Halafu eti ni rahisi ngamia 🐫 kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu
Ndio haao waliosemwa kuuona ufalme wa Mungu ni Bora ngamia apenye Tundu la sindano?Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
DuhNdio haao waliosemwa kuuona ufalme wa Mungu ni Bora ngamia apenye Tundu la sindano?
Ndio hao walimtetea Kimaro baada ya uonevu wa Malasusa, wakaweka mabango mitaani. Ana Kila sababu ya kusema hivyo
Kavimbiwa🤣yeye anawaza hela tu,huyu kimaro hajabadilika tu,kumbe kule kujiliza kwa malasusa akiomba msamaha ilikuwa zuga tuAmekosea... kila mtu ana umuhimu wake.
Hao anaosema ni maskini ndo huwa wanatenga mda wa kuja kudeki kanisani na kufanya usafi wa mazingira.
Huyu jamaa hafai,sisi padri katuambia aliyepeleka habari za kufufuka Yesu aliyekuwa anajulikana Kama kahaba,Maria Magdalena ndio alikuwa wa kwanza kusambaza habari za ufufuko wa Yesu,so hata nasi tusijione wanyonge pamoja na madhaifu yetu tukitubu tunaanza upya na kuwa wasambazaji injili waziri🙏wajumbe wa Mungu,yeye kimaro anawasujudu matajiri na kuwadharau watunza makaburi🤔kila mmoja ana nafasi yake,moyo wake umejaa tamaa ya mali na amepotoka.Ndio haao waliosemwa kuuona ufalme wa Mungu ni Bora ngamia apenye Tundu la sindano?
Ndio hao walimtetea Kimaro baada ya uonevu wa Malasusa, wakaweka mabango mitaani. Ana Kila sababu ya kusema hivyo
Kama yule aliyesema tusilegeze watoto ila wakubwa kwa wakubwa sawa. Kama yule afande wa zenji sawa. CCM MMEOZA BWASHEE.Hekima ipi?
🙄 haya bhana!Kama yule aliyesema tusilegeze watoto ila wakubwa kwa wakubwa sawa. Kama yule afande wa zenji sawa. CCM MMEOZA BWASHEE.
Unaweza kututhibitishia kuwa hizo ni habari za kusadikika? Nifafanulie hilo ili niijue kweliUfalme wa mbingu ni stori za kusadika,,,na ndio hizo zinawapumbaza watu waendelee kuishi kizembe huku hao wanao yahubiri hayo wakiendelea kula mema ya dunia hii,,Ishi sasa kadri uwezavyo,,, Habari za kusadikika utakutana nazo huko huko,,,(mbere kwa mbere)in Magu's Voisi!!
Yusuf alikua mwanafunz wa YESU kwa siri!! Mambo haya watu wanayachukulia kirahis san, kama ni msomaji na muelewa wa Bible imeweka wazi pia ukiangalia kuanzia YESU kukamatwa kwake, kusulubiwa, kufa na kufufuka kila tukio lilikua na muhusika au wahusika. Mengine yalitokea ili maandiko yatimie, je bila yuda kumsaliti maandiko yangetimiaje? Je bila petro kumkana maandiko yangetimiaje? Baada ya Kristo kufa petro aliamua kurudi kupiga kaz yake ya uvuvi na jamaa zake, but ili ujue walio wake ni wake alivyofufuka alimrudia petro na kumpa majukumu ya kulisha kondoo wake... Kuanzia pale ilianza kupigwa injili ya kufa mtu hata sasa!!!Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
Thibitishie na wewe huo ufalme wa mbingu???Unaweza kututhibitishia kuwa hizo ni habari za kusadikika? Nifafanulie hilo ili niijue kweli
Nadhani Mch. Kimaro anaendelea kukosa umakini. Sijui sababu ni nini Mungu wangu. Mtumishi aliyeonekana kusimamia neno nakuwa hivi. Bwana Yesu lisema kuwa kuwa tajiri kunakuingiza katika risk kubwa sana (hataari) ya kutokuingia Mbinguni. Yesu alikosea? Pia kulinusuru kanisa wakati wa uhitaji ndio kuingia Mbinguni? Kama mtu hana nia ya kwenda Mbinguni hapo ni sawa. Toa pesa nyingi sana kusaidia watumishi, jenga majengo ya makanisa , n.k. tutakusifu sana naa itaisia hapo. Je ni kwamba mtu aliyeiba akawa tajiri akatoa sadaka kanisani sifa ya wizi inaondoka? Mwanasiasa mmoja hapa TZ aliwahi kuwashangaa wezi wanaojaribu kumhonga Mungu kwa kutoa sadaka pesa waliyochuma kwa wizi, rushwa na ufisadi. Kumbe wanatiwa moyo na mahubiri kama haya. Kweli Mch. Kimaro umeniangusha sanaMchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari