Mimi naona wewe ndiye unayepaswa kuelimishwa. Umejaa ushabiki tu na si vinginevyo. Bila shaka wewe ni mmoja wa wale walioandamana baada ya lungu la Malasusa dhidi ya mchungaji wenu mpotoshaji.Kama hujui biblia kaa kimya. Kwenye dhana ya kulinda kaburi inayomaanishwa kwenye kifo cha Yesu. Omba uelimishwe kwanza
Malasusa na genge lenu la wahuni hamna nafasi tena ya kuendeleza uhuni wenu. Kaeni mtulie sindano ziwaingie. Mtumishi wa Mungu akishainuliwa na Mungu mwenyewe hakuna wa kumshusha. Acheni wivu wa kike.Mimi naona wewe ndiye unayepaswa kuelimishwa. Umejaa ushabiki tu na si vinginevyo. Bila shaka wewe ni mmoja wa wale walioandamana baada ya lungu la Malasusa dhidi ya mchungaji wenu mpotoshaji.
Huna utii kwa mkuu wako wa kanisa, na huo ni ukengeufu unapaswa kukemewa.Malasusa na genge lenu la wahuni hamna nafasi tena ya kuendeleza uhuni wenu. Kaeni mtulie sindano ziwaingie. Mtumishi wa Mungu akishainuliwa na Mungu mwenyewe hakuna wa kumshusha. Acheni wivu wa kike.
Matamshi kama vile ya kipofu aliyeona mwezi si ndiyo?Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
Mchungaji wa Kanisa anaposimama katika madhabahu ya Mungu YAHWEH Kanisani ameitwa kuhubiri Neno la Mungu tu. Anapoingia kufundisha falsafa zake hata kama zinampendeza sana Mwanadamu, Mchungaji huyo anakuwa amejiodoa kiwa mtumishi wa Kristo: "Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine... Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe...Maana, sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo"Mkuu leo somo liliegemea kwa matajiri usiwaonee wivu.
Maskini wanatiwa moyo kila siku lakini matajiri husimangwa na kupewa majina mabaya kila siku
Amesema wanahtajika pia. Ni katika ile hali ya watz kuwaona matajir ni wakosaji flan wasiohtajika mbinguni. So point yake ni both sides zinahtajiana.Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
Mchungaji yeyote aliyeitwa na Kusoma theology sio rahisi kukengeuka na kuingia kwenye Prosperity Gospel! Prosperity Gospel inawaondoa waumini wa KKKT Kijikonyama kwenye Injili ya kweli ya Bwana Yesu yenye kusudi kwenda Mbinguni, kwa kuogeukia injili fake ya kulitumia jina la Yesu kupa vitu vya hapa Duniani. Injili ya aina hii ina mvuto sana ndo maana waumini wa KKKT Kijikonyama huandamana kwa ajili ya Kimaro bila kujali kuwa ni utaratibu wa KKKT kuwapa uhamisho Wachungaji wake.Safari ya huyu Pastor ni ngumu
Atarudishwa lupango huyuMchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari
Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji
Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi, Wahujumu Uchumi au Freemason Kwani utajiri ni baraka hata katika level ya familia Kwani ndio wanaofuta aibu za familia, amesisitiza mchungaji Kimaro
Kimaro amesema Watu wengi ni walinzi tu wa makaburi kama wale Walinzi wa Pilato waliotumwa kulinda kaburi la Yesu, hivyo wewe kama mkristo usikubali kuwa Mlinda makaburi
Nawatakia Pasaka Njema!
Madini ya Prosperity Gospel hayana nafasi kwenye Kanisa la KKKT. Kwenye platform ya Ibaada za Kanisani Watu wanatakiwa kufundishwa Neno la Mungu YAHWEH tu.kumbe mchungaji katema madini ya ukweli kinyama alafu kuna vijitu na roho zao mbaya wanachuja maneno kuleta fitna zao humu kutokana na chuki zao za kichato
Huu ndio ufanatic usio na maana.Mchungaji wa Kanisa anaposimama katika madhabahu ya Mungu YAHWEH Kanisani ameitwa kuhubiri Neno la Mungu tu. Anapoingia kufundisha falsafa zake hata kama zinampendeza sana Mwanadamu, Mchungaji huyo anakuwa amejiodoa kiwa mtumishi wa Kristo: "Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine... Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe...Maana, sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo"
(Wagalatia 1:6;8;10).
Malasusa ni mhuni tu na atabakia kuwa hivyo. Kwanza waumini hawamtaki kwaninini angangania ili aendelee kula pesa za kanisa? Alipokuwa mkuu wa KKKT alitafuna sana pesa za kanisa. Huyu jamaa ni zaidi ya fisadi, nashangaa kwanini mnamtetea.Huna utii kwa mkuu wako wa kanisa, na huo ni ukengeufu unapaswa kukemewa.
Mtu mbumbumbu kama wewe (tena huenda ni mvaa makobazi na visuruali nusu) huwezi kumuelewa Mchungaji Dr Kimaro. Omba Mungu akupe uelewa uweze kuelewa madini anayotema Dr Kimaro. Acha kupaparika na kuhorojoka bila sababu za msingi.Mchungaji wa Kanisa anaposimama katika madhabahu ya Mungu YAHWEH Kanisani ameitwa kuhubiri Neno la Mungu tu. Anapoingia kufundisha falsafa zake hata kama zinampendeza sana Mwanadamu, Mchungaji huyo anakuwa amejiodoa kiwa mtumishi wa Kristo: "Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine... Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe...Maana, sasa je! Ni wanadamu ninaowashawishi, au Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa hata sasa nawapendeza wanadamu, singekuwa mtumwa wa Kristo"
(Wagalatia 1:6;8;10).
Endelea kula ugali na picha ya sangara!Malasusa ni mhuni tu na atabakia kuwa hivyo. Kwanza waumini hawamtaki kwaninini angangania ili aendelee kula pesa za kanisa? Alipokuwa mkuu wa KKKT alitafuna sana pesa za kanisa. Huyu jamaa ni zaidi ya fisadi, nashangaa kwanini mnamtetea.
Sasa mbona hayo uliyoandika ndio yanatakiwa kufanywa na mchungaji yeyote makini halfu tena unakanushamwishoni? Unajitambua kweli mkuu?Madini ya Prosperity Gospel hayana nafasi kwenye Kanisa la KKKT. Kwenye platform ya Ibaada za Kanisani Watu wanatakiwa kufundishwa Neno la Mungu YAHWEH tu.
Kuhusu uchumi KKKT ina mashule na Vyuo hadi ngazi ya Chuo kikuu huko watu watafundishwa elimu mbali mbali. Lakini pia kuhusu Uchumi ngazi ya Usharika, kila Usharika unaruhusiwa kuwa na semina zakufunza mambo ya Uchumi, ndoa, na malezi ya vijana, kulingana na platform husika. Kitendo cha Kimaro kutumia platform ya Ibaada za Kanisa kufundisha Uchumi ni kuzarau kazi aliyoifanya Bwana Wetu Yesu Kristo Msalabani. Hili jambo linatakiwa kukemewa na Mkristo wa Kweli yeyote.
Sawa. Watu wenye akili ndogo hamuwezi kumuelewa Dr Kimaro. Mwacheni ahubiri injili kwa kondoo za bwana. Nyie nendeni kwa mhuni mwezenu Malasusa mkajazane ujinga, wivu na husda. Mungu anawaona.Endelea kula ugali na picha ya sangara!
Kaanza tena kidomo domo...Amekosea... kila mtu ana umuhimu wake.
Hao anaosema ni maskini ndo huwa wanatenga mda wa kuja kudeki kanisani na kufanya usafi wa mazingira.
Wasalimie Matembele ya pili πππSawa. Watu wenye akili ndogo hamuwezi kumuelewa Dr Kimaro. Mwacheni ahubiri injili kwa kondoo za bwana. Nyie nendeni kwa mhuni mwezenu Malasusa mkajazane ujinga, wivu na husda. Mungu anawaona.
Exactly. Tusaidiane kuwaelimisha hawa mambumbumbu wasiendelee kuwapotosha watu kuhusu madini anayotema Dr Kimaro.Amesema wanahtajika pia. Ni katika ile hali ya watz kuwaona matajir ni wakosaji flan wasiohtajika mbinguni. So point yake ni both sides zinahtajiana.
Juzi kadai eti amewasamehe wote waliomsema vibaya... kaanza mdomo wake tena, wakubwa zake walishamchoka huyu Mchaga...Ashaanza kulewa sifa, mapinduzi makubwa katika kitabu cha matendo na uzihirisho wa roho Mtakatifu walifanya matajiri? Shida ni jina Kimaro.
Acheni wivu wa kike au nawe ni muumini wa LGBTQ? Weka wazi tujue. Una wivu wa kishoga ujue!Juzi kadai eti amewasamehe wote waliomsema vibaya... kaanza mdomo wake tena, wakubwa zake walishamchoka huyu Mchaga...