Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

Huyu mchungaji anahitaji kuelimishwa kuwa kila mtu ni tajiri na ni maskini pia
 
Ameanza tena..
😔
 
Kama kweli kasema ,,,amekosea
 
Kimaro pamoja na kusoma kote Biblia ameshindwa kuelewa kuwa mara tu baada ya Kristo kutiwa nguvuni na wenye mamlaka wakati huo, wafuasi wake wakiwemo wanafunzi walikuwa wakiwindwa na wengi walitawanyika kukimbia mkono wa chuma wa Herode...
 
Anakuwaga na mahubiri ya kipuuzi! Waliomsindikiza Yesu wakati anapelekwa Golgotha walikuwa matajiri? Aliyemsaidia kubeba msalaba njiani alikuwa tajiri? Aache ujinga kila muumini ana nafasi yake Kanisani!
 
Nakuunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…