GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama

Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna wizi wa kura, Mwanamke kweli! Kama ingekuwa asilimia 57 tungeelewa, sasa hii ina maana wale asilimia 2 ndio waliokuwa mitaani au vipi?

Mliambiwa kwa bibilia mwanamke mchawi ni mbaya sana mkakaza fuvu, haya ametuulia ndugu zetu leo ndo mnajua macho yake lembulembu ni hatari kuliko ya Dada Idd Amin.
 
Kura zilipigwa na msimamizi mkuu wa kituo na msaidizi wake pamoja na karani waliambiwa wajaze makopo ya kura Kuna wale wakala wanaokuja kusimamia weng walikua ni WA ccm na wao walipewa makaratasi ya kutosha kupiga na kujaza makopo mkuu wa kazi alifika na kutoa maelekezo na order kutoka juu
 
Niliona videos ,. Walikua wanatiki wenyewe Tu aisee
Hii sio sawa
 
Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama

Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna wizi wa kura, Mwanamke kweli! Kama ingekuwa asilimia 57 tungeelewa, sasa hii ina maana wale asilimia 2 ndio waliokuwa mitaani au vipi?

Jamaa katupiga hadi aibu aiseeee
 
Back
Top Bottom