Niliona videos ,. Walikua wanatiki wenyewe Tu aiseeKura zilipigwa na msimamizi mkuu wa kituo na msaidizi wake pamoja na karani waliambiwa wajaze makopo ya kura Kuna wale wakala wanaokuja kusimamia weng walikua ni WA ccm na wao walipewa makaratasi ya kutosha kupiga na kujaza makopo mkuu wa kazi alifika na kutoa maelekezo na order kutoka juu
kwao ipo, wanawasiliana vzr wakituzimiaYani kura milioni 32 zimehisabiwa ndani ya siku tatu bila internet
Huo upumbafu wa huyu mama ndo tunatqkiwa tuukomesheNiliona videos ,. Walikua wanatiki wenyewe Tu aisee
Hii sio sawa
Jamaa katupiga hadi aibu aiseeeeTanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama
Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna wizi wa kura, Mwanamke kweli! Kama ingekuwa asilimia 57 tungeelewa, sasa hii ina maana wale asilimia 2 ndio waliokuwa mitaani au vipi?
Hata siyo comedy. Comedy angalau huchekesha. Hii hata kuchekesha haichekeshi.Ni comedy