Mchungaji Lucy Natasha amechanjwa COVID19 achana na tatoo yake

Mchungaji Lucy Natasha amechanjwa COVID19 achana na tatoo yake

Anaonekana anaenda sana kwa mpalange
Chochea moto
JamiiForums1133759122.jpg
 
Katika watu wa kutowaamini ukiachilia wanasiasa, wengine ni hawa wachungaji😵
Hawa mimi ningeweza kuwaandalia moto ningekusanya kuni nyingi kupitiliza. Utashangaa wanawake haswa watakavyojazana kumsikiliza huyu m$&l@&@&a fulani. Wanawaumiza sana wajane hawa mbusi...
 
[28]Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
Hizi imani hizi kwahio Ancestors wetu walikuwa na mambo ya Kishenzi au hizi Imani zilizoletwa na Meli ndio bora zaidi ?

Well my Motto ni "To each his or her Own"

1638359020633.jpeg
 
Mchungaji wa nini vile????? Kithungu shida wadugu wane!
 
Back
Top Bottom