Mchungaji Lucy Natasha apata mume raia wa India

Wote wamekutana wana pesa chafu, lucy natasha anahelcopter na viwanda vya maji kenya mabrazamen kibao walikuwa wanajazana kwenye kanisa lake sasa sijui walikuwa wanasubiri zari liwadondokee😁😁🀣🀣😝😝
 
Wote wamekutana wana pesa chafu, lucy natasha anahelcopter na viwanda vya maji kenya mabrazamen kibao walikuwa wanajazana kwenye kanisa lake sasa sijui walikuwa wanasubiri zari liwadondokee😁😁🀣🀣😝😝
Mdosi kawazidi kete πŸ˜‚
 
vipi BONNIE & CLYDE
 
Kuna mahali nilisikia eti huyu dada ni pure black sema rangi hiyo kanunu dukani, inasemekan lakini
 
Hivi huyu si ndo aliimbaga wimbo wa sijui "maumivu niachee"

Leo hii amekuwa mchungaji? Hii kazi inachezewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…