establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Lakini jamaa atakua na pesa maana hakuna Mkikuyu anayekubali lofa.Rev Natasha hajazeeka bhana!
Ila Nabii Carmel yeye kaficha umri wake wala hapendi kuuongelea hadi wadau wanahisi kuwa huenda nabii ni "Serengeti boy" wa kidosi 😄😄