Mchungaji Lucy Natasha apata mume raia wa India

Mchungaji Lucy Natasha apata mume raia wa India

Huyo Rev Lucy natasha alikuwaga ana date na mwamposa kumbe amemtosa na sasa anaolewa na kanjibai
Mwamposa hajui kiingereza na Rev Natasha hajui kiswahili walikuwa wana date kivipi?
 
Why Natasha&Carmel ...not Carmel&Natasha.. kimaono ya asili mwanaume ndio hujitwalia mwenza, je kwa hao manabii ipoje.. Natasha ndio alimtokea mwenziwe au jamaa aliimbisha..,au ndio tuaminishwe ni roho aliwaongoza towards each other?
napatwa maono ipo shida mahali na inabidi ikabiliwe kwa nguvu ya roho head on, ama sivyo wataachana tu..(naye asiye na mawaa atwae mawe anirushie).
Kwanini Bonnie & Clyde na sio Clyde & Bonnie
 
Back
Top Bottom