Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
- #61
Hiyo ni siri yakeKawa mweupe kuliko mumewe.
Ila waliwezaje kukaa singo muda wote huo,mbona sie masikin hatuwez
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni siri yakeKawa mweupe kuliko mumewe.
Ila waliwezaje kukaa singo muda wote huo,mbona sie masikin hatuwez
Ningekuwa nahitaji maombi yake ingekuwa kitambo tu alivyokuja ofisini kwangu nimchore tattoo,,,,Umewaza mbali sana bwashee, ngoja nikupe namba zake umpigie akupe huduma ya maombi maana naona unahitaji ukombozi
We bwashee ulimchora tattoo pastor?Ningekuwa nahitaji maombi yake ingekuwa kitambo tu alivyokuja ofisini kwangu nimchore tattoo,,,,
Chalte Chalte 😂 kachukua kitunguu swaumuChupri Chupri!!
Chupri maana yake nnChupri Chupri!!
Mwamposa hajui kiingereza na Rev Natasha hajui kiswahili walikuwa wana date kivipi?Huyo Rev Lucy natasha alikuwaga ana date na mwamposa kumbe amemtosa na sasa anaolewa na kanjibai
Manido ndio uzuri wenyewe mdosi kayazimikia 😍Mzuri,tatizo "manido"
Wabantu wangemharibia brandPastor ameamua kwenda kula bamia na pilipili??? hongera zake....
😂😂Wabantu wangemharibia brand
Kwanini Bonnie & Clyde na sio Clyde & BonnieWhy Natasha&Carmel ...not Carmel&Natasha.. kimaono ya asili mwanaume ndio hujitwalia mwenza, je kwa hao manabii ipoje.. Natasha ndio alimtokea mwenziwe au jamaa aliimbisha..,au ndio tuaminishwe ni roho aliwaongoza towards each other?
napatwa maono ipo shida mahali na inabidi ikabiliwe kwa nguvu ya roho head on, ama sivyo wataachana tu..(naye asiye na mawaa atwae mawe anirushie).
AmenAmen Kubwa
Ana umri gani kwa sasa?Sema Mtumishi hakutaka mambo mengi. Maana angechacha na hv umri umesogea
30 years (2022-1992)Ana umri gani kwa sasa?
Rev Natasha hajazeeka bhana!30 years (2022-1992)