E establishment JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 1,632 Reaction score 2,435 Jan 26, 2022 #81 Kambi ya Fisi said: Rev Natasha hajazeeka bhana! Ila Nabii Carmel yeye kaficha umri wake wala hapendi kuuongelea hadi wadau wanahisi kuwa huenda nabii ni "Serengeti boy" wa kidosi ππ Click to expand... Lakini jamaa atakua na pesa maana hakuna Mkikuyu anayekubali lofa.
Kambi ya Fisi said: Rev Natasha hajazeeka bhana! Ila Nabii Carmel yeye kaficha umri wake wala hapendi kuuongelea hadi wadau wanahisi kuwa huenda nabii ni "Serengeti boy" wa kidosi ππ Click to expand... Lakini jamaa atakua na pesa maana hakuna Mkikuyu anayekubali lofa.
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,858 Reaction score 22,729 Jan 26, 2022 Thread starter #82 establishment said: Lakini jamaa atakua na pesa maana hakuna Mkikuyu anayekubali lofa. Click to expand... Upo sahihi ndugu, huyu mdosi ana utajiri wa $1 million so mkikuyu alichagua mtu milionea π
establishment said: Lakini jamaa atakua na pesa maana hakuna Mkikuyu anayekubali lofa. Click to expand... Upo sahihi ndugu, huyu mdosi ana utajiri wa $1 million so mkikuyu alichagua mtu milionea π
E establishment JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 1,632 Reaction score 2,435 Jan 26, 2022 #83 Kambi ya Fisi said: Upo sahihi ndugu, huyu mdosi ana utajiri wa $1 million so mkikuyu alichagua mtu milionea π Click to expand... Bora kuliko angehangaika na wabantu wangemharibia brand Tu na kashfa kibao.
Kambi ya Fisi said: Upo sahihi ndugu, huyu mdosi ana utajiri wa $1 million so mkikuyu alichagua mtu milionea π Click to expand... Bora kuliko angehangaika na wabantu wangemharibia brand Tu na kashfa kibao.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 26, 2022 #84 Aende Akatulie Siyo Kurukaruka
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,858 Reaction score 22,729 Jan 27, 2022 Thread starter #85 Kennedy said: Aende Akatulie Siyo Kurukaruka Click to expand... Ila mdosi ana kibarua kizito kwa madam
Kennedy said: Aende Akatulie Siyo Kurukaruka Click to expand... Ila mdosi ana kibarua kizito kwa madam