Mchungaji Lusekelo: Kwa mujibu wa Biblia mkuu wa nchi akishaongea mjadala unafungwa, hao wanaohoji baadae ni wavuta bangi


Channel ten si ndio waliyopewa CCM na tajiri wa Igunga?
 
wakati wapo chadema walikuwa wapotofu ila walipoacha mambo ya siasa wamekuwa watakatifu wenye heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji482] Ameongea yeye au "Hii kitu Hii?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lusekelo ana bahati mbaya, ya kutumia akili.
 
Kwa hili nakubaliana na lusekelo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha pombe ana hoja gani ya maana, au anaviza Lwaka's seat?
 
Sijaelewa huyu jamaa anasoma Biblia gani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Limbowe na Zitto ni wavuta bangi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti yuko 10 bora ya wachungaji Afrika. Nonsense
 

Hahahhahaa Daaah!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
So hivyo tu shedraki, meshaki na Abednego walipinga amri ya Rais ya kuabudu sanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…