wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
CCMHii tabia ya kuwapangia watumishi wa Mungu umetokea wapi ghafla!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCMHii tabia ya kuwapangia watumishi wa Mungu umetokea wapi ghafla!
Watu huwa wanazaliwa, wanakua na watu huwa wanazeeka na huwa wanafariki. Kwenye vipindi vya maisha ya mtu kuna wakati wa ujana ambao ni wakati wa kuhangaika sana lakini kuna wakati wa uzee ambao ni wakati wa kutulia na kuangalia kazi uliyofanya.
Wakati wa uzee ndio hasa wakati wa kuangalia taabu yako na matunda uliyopata. Kama ulilegea wakati wa ujana basi wakati wa uzee unakuwa na taabu sana.
Ukimuona mzee anahaingaika na vijana kwenye uzee wake basi ni dhahiri kuna kitu hakiko sawa kwenye maisha yake. Huu ni wakati wa mchungaji Lusekelo kupumzika na kuacha vijana wafanye kazi na sio wakati wa kugombana nao na huku akijua hata nguvu hizo hana.
Kwenye uzee huu ndio unawaza kurusha kutumia mitandao ya kijamii kupambana na vijana ambao wangekuletea sukari ukiwa unezeeka.
Hii inanikumbusha story na nabii kijana na nabii mzee. Wivu wa nabii mzee aliokuwa nao ulimpelekea kumtendea nabii kijana kwa hira na kumkosesha. Kubali tu kwamba Bwana hajasema na wewe lakini kasema na mwingine. Kumshambulia mwenzako kwenye mwili wa Kristo wala haikusaidii chochote... zaidi sana unajiumiza mwenyewe maana wote ni mwili mmoja yaani Kristo.
Acheni kutumika vibaya na hao wanaokutumia. Kama lengo ni kuhamasisha chanjo njia rahisi ni kuwaomba wizara ya afya wafungue kituo cha chanjo hapo kanisani kwako wachanje waumini wako wote. Hii itatoa mfano wa kuwa kiongozi sio kurusha clip. Wewe unajua kuwa hata unaowaongoza hawakubaliani na chanjo hizi za msaada.
Mwisho nikuombe uachane na hao wanaokutumia. Nasema hivyo maana najua kuwa wewe unajua kuwa unakosea. Unayemshambulia wala hana muda na wewe lakini sisi ambao tumekuona siku nyingi ukimtumikia Mungu tunapata tafsiri ya kwamba huenda unazeeka vibaya PUMZIKA.
Ukishasoma ujumbe huu mrushie na mzee mwenzako mwambie naye apumzike mambo hayo yanaabisha kanisa.
Ni mimi katika mwili wa Kristo
Nabii S.S Lolinga
Ume tu trap kweli ulipoandika mchungaji lusekelo!!Watu huwa wanazaliwa, wanakua na watu huwa wanazeeka na huwa wanafariki. Kwenye vipindi vya maisha ya mtu kuna wakati wa ujana ambao ni wakati wa kuhangaika sana lakini kuna wakati wa uzee ambao ni wakati wa kutulia na kuangalia kazi uliyofanya.
Wakati wa uzee ndio hasa wakati wa kuangalia taabu yako na matunda uliyopata. Kama ulilegea wakati wa ujana basi wakati wa uzee unakuwa na taabu sana.
Ukimuona mzee anahaingaika na vijana kwenye uzee wake basi ni dhahiri kuna kitu hakiko sawa kwenye maisha yake. Huu ni wakati wa mchungaji Lusekelo kupumzika na kuacha vijana wafanye kazi na sio wakati wa kugombana nao na huku akijua hata nguvu hizo hana.
Kwenye uzee huu ndio unawaza kurusha kutumia mitandao ya kijamii kupambana na vijana ambao wangekuletea sukari ukiwa unezeeka.
Hii inanikumbusha story na nabii kijana na nabii mzee. Wivu wa nabii mzee aliokuwa nao ulimpelekea kumtendea nabii kijana kwa hira na kumkosesha. Kubali tu kwamba Bwana hajasema na wewe lakini kasema na mwingine. Kumshambulia mwenzako kwenye mwili wa Kristo wala haikusaidii chochote... zaidi sana unajiumiza mwenyewe maana wote ni mwili mmoja yaani Kristo.
Acheni kutumika vibaya na hao wanaokutumia. Kama lengo ni kuhamasisha chanjo njia rahisi ni kuwaomba wizara ya afya wafungue kituo cha chanjo hapo kanisani kwako wachanje waumini wako wote. Hii itatoa mfano wa kuwa kiongozi sio kurusha clip. Wewe unajua kuwa hata unaowaongoza hawakubaliani na chanjo hizi za msaada.
Mwisho nikuombe uachane na hao wanaokutumia. Nasema hivyo maana najua kuwa wewe unajua kuwa unakosea. Unayemshambulia wala hana muda na wewe lakini sisi ambao tumekuona siku nyingi ukimtumikia Mungu tunapata tafsiri ya kwamba huenda unazeeka vibaya PUMZIKA.
Ukishasoma ujumbe huu mrushie na mzee mwenzako mwambie naye apumzike mambo hayo yanaabisha kanisa.
Ni mimi katika mwili wa Kristo
Nabii S.S Lolinga
Unaijua maana ya 'heading' ya thread yako?Watu huwa wanazaliwa, wanakua na watu huwa wanazeeka na huwa wanafariki. Kwenye vipindi vya maisha ya mtu kuna wakati wa ujana ambao ni wakati wa kuhangaika sana lakini kuna wakati wa uzee ambao ni wakati wa kutulia na kuangalia kazi uliyofanya.
Wakati wa uzee ndio hasa wakati wa kuangalia taabu yako na matunda uliyopata. Kama ulilegea wakati wa ujana basi wakati wa uzee unakuwa na taabu sana.
Ukimuona mzee anahaingaika na vijana kwenye uzee wake basi ni dhahiri kuna kitu hakiko sawa kwenye maisha yake. Huu ni wakati wa mchungaji Lusekelo kupumzika na kuacha vijana wafanye kazi na sio wakati wa kugombana nao na huku akijua hata nguvu hizo hana.
Kwenye uzee huu ndio unawaza kurusha kutumia mitandao ya kijamii kupambana na vijana ambao wangekuletea sukari ukiwa unezeeka.
Hii inanikumbusha story na nabii kijana na nabii mzee. Wivu wa nabii mzee aliokuwa nao ulimpelekea kumtendea nabii kijana kwa hira na kumkosesha. Kubali tu kwamba Bwana hajasema na wewe lakini kasema na mwingine. Kumshambulia mwenzako kwenye mwili wa Kristo wala haikusaidii chochote... zaidi sana unajiumiza mwenyewe maana wote ni mwili mmoja yaani Kristo.
Acheni kutumika vibaya na hao wanaokutumia. Kama lengo ni kuhamasisha chanjo njia rahisi ni kuwaomba wizara ya afya wafungue kituo cha chanjo hapo kanisani kwako wachanje waumini wako wote. Hii itatoa mfano wa kuwa kiongozi sio kurusha clip. Wewe unajua kuwa hata unaowaongoza hawakubaliani na chanjo hizi za msaada.
Mwisho nikuombe uachane na hao wanaokutumia. Nasema hivyo maana najua kuwa wewe unajua kuwa unakosea. Unayemshambulia wala hana muda na wewe lakini sisi ambao tumekuona siku nyingi ukimtumikia Mungu tunapata tafsiri ya kwamba huenda unazeeka vibaya PUMZIKA.
Ukishasoma ujumbe huu mrushie na mzee mwenzako mwambie naye apumzike mambo hayo yanaabisha kanisa.
Ni mimi katika mwili wa Kristo
Nabii S.S Lolinga
We nae mpuuzi,lusekelo hajakosea kabisa alichosema yeye ni kwamba gwajima anacheza na akili za watu Tena watu goigoi wa kufikiri Kama wewe,ni hivi unajua serikali haikumlazimisha mtu akachome wamesema ni hiari je una kubaliana na Hilo?na gwajima anasema hachomi mtu hapa kana kwamba serikali imesema ni lazima,unaona ujanja wake hapo,na serikali inashindwa kumuadhibu kwa kuwa yenyewe haijasema kuwa kuchoma ni lazima unaelewa sijui kinachofanyika hapa na gwajima(ujanjaunjanja wa kuwapata sadaka kanisani)siku serikali ikisema ni lazima kuchanja gwajima atanyamaza tu maana hakuna wakushindana nayo,wewe unahisi gwajima anaweza kushindana na serikali kweli kabisa kichwani mwako,mwana amka mwanaWatu huwa wanazaliwa, wanakua na watu huwa wanazeeka na huwa wanafariki. Kwenye vipindi vya maisha ya mtu kuna wakati wa ujana ambao ni wakati wa kuhangaika sana lakini kuna wakati wa uzee ambao ni wakati wa kutulia na kuangalia kazi uliyofanya.
Wakati wa uzee ndio hasa wakati wa kuangalia taabu yako na matunda uliyopata. Kama ulilegea wakati wa ujana basi wakati wa uzee unakuwa na taabu sana.
Ukimuona mzee anahaingaika na vijana kwenye uzee wake basi ni dhahiri kuna kitu hakiko sawa kwenye maisha yake. Huu ni wakati wa mchungaji Lusekelo kupumzika na kuacha vijana wafanye kazi na sio wakati wa kugombana nao na huku akijua hata nguvu hizo hana.
Kwenye uzee huu ndio unawaza kurusha kutumia mitandao ya kijamii kupambana na vijana ambao wangekuletea sukari ukiwa unezeeka.
Hii inanikumbusha story na nabii kijana na nabii mzee. Wivu wa nabii mzee aliokuwa nao ulimpelekea kumtendea nabii kijana kwa hira na kumkosesha. Kubali tu kwamba Bwana hajasema na wewe lakini kasema na mwingine. Kumshambulia mwenzako kwenye mwili wa Kristo wala haikusaidii chochote... zaidi sana unajiumiza mwenyewe maana wote ni mwili mmoja yaani Kristo.
Acheni kutumika vibaya na hao wanaokutumia. Kama lengo ni kuhamasisha chanjo njia rahisi ni kuwaomba wizara ya afya wafungue kituo cha chanjo hapo kanisani kwako wachanje waumini wako wote. Hii itatoa mfano wa kuwa kiongozi sio kurusha clip. Wewe unajua kuwa hata unaowaongoza hawakubaliani na chanjo hizi za msaada.
Mwisho nikuombe uachane na hao wanaokutumia. Nasema hivyo maana najua kuwa wewe unajua kuwa unakosea. Unayemshambulia wala hana muda na wewe lakini sisi ambao tumekuona siku nyingi ukimtumikia Mungu tunapata tafsiri ya kwamba huenda unazeeka vibaya PUMZIKA.
Ukishasoma ujumbe huu mrushie na mzee mwenzako mwambie naye apumzike mambo hayo yanaabisha kanisa.
Ni mimi katika mwili wa Kristo
Nabii S.S Lolinga
Kipo sawa. Anazungumzia Lusekelo alipokuwa kijana na sasa hayupo tena. Aliyepo ni Lusekelo Mzee ambaye sasa anaongelea mambo mengine kabisa tofauti na yale aliyoyaongelea alipokuwa kijana.
Ndugu,kimeshabadilishwa tayari, hapo kabla kilikuwa kinatisha asante kwa @ moderatorKipo sawa. Anazungumzia Lusekelo alipokuwa kijana na sasa hayupo tena. Aliyepo ni Lusekelo Mzee ambaye sasa anaongelea mambo mengine kabisa tofauti na yale aliyoyaongelea alipokuwa kijana.
Nakubaliana nawe.Ndugu,kimeshabadilishwa tayari, hapo kabla kilikuwa kinatisha asante kwa @ moderator