Mchungaji Lusekelo pumzika, acha vijana wafanye kazi


Yote hii ni kwa sababu mzee wa upako anawachana live? Mzee wa upako shikilia hapo hapo si Corona wala nini:



Mi CCM ndiyo zao, kusikia kwao kwa hakika ni heri mno ya huyu mwamba:

 
Ume tu trap kweli ulipoandika mchungaji lusekelo!!
 
Unaijua maana ya 'heading' ya thread yako?
 
Moderator Nini hiki?
Mimi Niko na Lusekelo kwa hili..wanaotaka kuchanjwa wachanjwe wasiotaka waache..Ni upuuzi kumtukana na kumtisha anyechanjwa kwamba atakuwa zombie..huu Ni ushamba..
Binafsi siziamini chanjo za Covid.. lakini siwezi kuwatisha watu eti wakichanjwa watakuwa mazombie au watakuwa mbwa..
 
We nae mpuuzi,lusekelo hajakosea kabisa alichosema yeye ni kwamba gwajima anacheza na akili za watu Tena watu goigoi wa kufikiri Kama wewe,ni hivi unajua serikali haikumlazimisha mtu akachome wamesema ni hiari je una kubaliana na Hilo?na gwajima anasema hachomi mtu hapa kana kwamba serikali imesema ni lazima,unaona ujanja wake hapo,na serikali inashindwa kumuadhibu kwa kuwa yenyewe haijasema kuwa kuchoma ni lazima unaelewa sijui kinachofanyika hapa na gwajima(ujanjaunjanja wa kuwapata sadaka kanisani)siku serikali ikisema ni lazima kuchanja gwajima atanyamaza tu maana hakuna wakushindana nayo,wewe unahisi gwajima anaweza kushindana na serikali kweli kabisa kichwani mwako,mwana amka mwana
 
Kipo sawa. Anazungumzia Lusekelo alipokuwa kijana na sasa hayupo tena. Aliyepo ni Lusekelo Mzee ambaye sasa anaongelea mambo mengine kabisa tofauti na yale aliyoyaongelea alipokuwa kijana.
Ndugu,kimeshabadilishwa tayari, hapo kabla kilikuwa kinatisha asante kwa @ moderator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…