Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri atoroka nchini Afrika Kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana

Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri atoroka nchini Afrika Kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana

Hawa ndio akina gwajiboy, jitu lina mambo ya ajabu ajabu, jizi, dhurumati, tapeli, nyang'anyi lakini bado kuna misukule inapeleka sadaka kule kila Sunday, kweli aliyeturoga waafrika dawa ya kututibia huo urogi aliichimbia ktk zizi lililojaa kinyesi cha ngurue..
 
SA ni Nchi ishaoza kwa rushwa na mara nyingi hawataki kuona makosa yao Bushiri alishtakiwa kwa kuingia SA kinyume na sheria na kuwa na passport tatu pia kuweka vibali vya kuishi kwa njia za rushwa yeye na mkewe harafu kwenye dhamana wamechukua passport na kuweka hela za dhamana ukiruka kesi hela imeenda leo wanataka kuwashutumu hadi Rais wa Malawi wakati kuingia na kutoka SA ukiwa na pesa ya hongo utatoka tuu watu wanatoka kwa Rand 500 ili asigongeweze muhuri wa adhabu sembuse huyo anaweza kununua gari jipya na anatoka na passport hata ya mtu mwingine akiingia Zimbabwe imeisha...hao washazoea kutoa dhamana hadi kwa kesi kubwa za uuaji na ukabaji hii msilaumiane...
South ukiwa na pesa tu hadi Uraia na Silahaa wanakuuzia,Tena wenye Mamlaka ndiyo wanafanya hayo Mambo!! Money talks in South Africa! Hata kala Singa wa IPTL angekua South saa hizi angekua Kesha kula kitaa!!
 
South ukiwa na pesa tu hadi Uraia na Silahaa wanakuuzia,Tena wenye Mamlaka ndiyo wanafanya hayo Mambo!! Money talks in South Africa! Hata kala Singa wa IPTL angekua South saa hizi angekua Kesha kula kitaa!!
Kala singa kakataa kutoa hela na kukubali kesi ili awe mtaani nimemsikia mwenyewe Mh. akilizungumzia hilo kuwa wanasheria wanampotosha ila pale kiboko ni Malila ambae kagoma kutoka na kala kaona bora aige tuu...kwenye swala la mpunga mrefu ni Nchi chache zitashawawisha kutokuchukua ndio maana kila siku tunasikia takukuru wameokoa kiasi Fulani ina maana hakuna pia uadilifu...
 
Watu wamesahau kuwa yupo MUNGU anayeishi,
Wanajikuta miungu wanasahau kifo na hukumu,..
 
Back
Top Bottom