Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri atoroka nchini Afrika Kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana

Hawa ndio akina gwajiboy, jitu lina mambo ya ajabu ajabu, jizi, dhurumati, tapeli, nyang'anyi lakini bado kuna misukule inapeleka sadaka kule kila Sunday, kweli aliyeturoga waafrika dawa ya kututibia huo urogi aliichimbia ktk zizi lililojaa kinyesi cha ngurue..
 
South ukiwa na pesa tu hadi Uraia na Silahaa wanakuuzia,Tena wenye Mamlaka ndiyo wanafanya hayo Mambo!! Money talks in South Africa! Hata kala Singa wa IPTL angekua South saa hizi angekua Kesha kula kitaa!!
 
Kala singa kakataa kutoa hela na kukubali kesi ili awe mtaani nimemsikia mwenyewe Mh. akilizungumzia hilo kuwa wanasheria wanampotosha ila pale kiboko ni Malila ambae kagoma kutoka na kala kaona bora aige tuu...kwenye swala la mpunga mrefu ni Nchi chache zitashawawisha kutokuchukua ndio maana kila siku tunasikia takukuru wameokoa kiasi Fulani ina maana hakuna pia uadilifu...
 
Watu wamesahau kuwa yupo MUNGU anayeishi,
Wanajikuta miungu wanasahau kifo na hukumu,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…