Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Mchungaji Masanja Mkandamizaji baada ya kupitia majaribu ya shetani amemzawadia mkewe Monica zawadi ya Gari

Jana katk kipindi Cha wasafi worship Sunday kilifanaa sna hongera Sana mchungaji .naamini kbsa hujausika na kifo hcho ajuae Ni mungu pekee
 
Naamini masanja hajausika na hicho kifo kijan Yule alikuwa mc shughuli za harusi

Nikuulize vzr HV unawajuwa mc nn au unawachukuliaje
Nani kasema kahusika.

Mimi na sema kama muumini wake mtiifu ilitakiwa aoneshe kusikitika na hilo jambo.
Yaani kuombeleza kwa kumpoteza muumini wake.

Kwenye media naona anamsifia mkewe tu.
Wote tunajua mkewe ni mzuri sana wa kila kitu.
Lakini kuna mtu kafa.
 
Tukio hili limefanyika ndani ya Kanisa la Feel Free Church jijini DSM

Mama mchungaji Monica Leo Ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa hivyo mumewe ambaye ni Askofu mkuu wa FFC Tanzania mchungaji Masanja amemzawadia Gari aina ya Nissan

Waumini nao wametoa zawadi mbalimbali kwa mama mchungaji Monica

Mchungaji Masanja Mkandamizaji amemuaibisha shetani kwa kweli


Kuna watu pang'a ng'a walah sijawahi ona
 
Nani kasema kahusika.

Mimi na sema kama muumini wake mtiifu ilitakiwa aoneshe kusikitika na hilo jambo.
Yaani kuombeleza kwa kumpoteza muumini wake.

Kwenye media naona anamsifia mkewe tu.
Wote tunajua mkewe ni mzuri sana wa kila kitu.
Lakini kuna mtu kafa.
Usiishie hapo. Uuseme na ukweli jamaa na genge lake la madawa ya kulevya wamemuua mtu, kisa aakafanya leakage ya biashara, lakin wamefanikiwa kuhamisha mass kwa scandal wanayopenda waswahili.
ROHO ni roho tu. Mhusika atahangaika sana!
 
Alafu mbona hii gari ashawah kumpa au ni Mimi ndo Sina kumbukumbu
 
Kumnunulia mkeo gari ni uzwazwa,mkeo anatakiwa atumie mali zako zote ikiwemo na magari.
 
Nasikia kavideo kameuza platinum huko Google so mapato ndio hayo kapewa ndinga
 
Back
Top Bottom