Mchungaji Masanja "Mkandamizaji" Hebu uwe hofu ya Mungu

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
350
Reaction score
338
Watanzania wenzangu nimeshtushwa sana Na ujio wa Baba Mchungaji Masanja Na mkewe.Mchungaji masanja hebu jipime elimu ya uchungaji umeipata lini Na wapi? Mchungaji masanja uchungaji in taalum hebu uwe Na Hofu ya Mungu .Naamini Uchungaji wako ni Biashara kwani hujasomea popote .
 
Hehehheheh Mwachie Mungu atakutana naye ndipo atajuwa mbivu na mbich
 
Uchungaji sio taaluma. Uchungaji ni karama kutoka kwa Mungu......
Ila kidunia ndio tunafanya kama taaluma hata wale wasio na wito kuwa wachungaji
Ndio maana wengi wanaishia kufanya mambo ya ajabu
 
Hivi mzee wa kule nanihii yeye alisomea wapi!
 
Back
Top Bottom