Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kusomea ukipenda, lakini mi naona hii ni wito, huhitaji kusomea believe me if its a calling pale unaposimama at the pulpit, sio wewe unaeongea tena! sema tu mwisho wa siku umekaribia manabii wa uongo ni wengi, ongea na Mungu wako atakuonyesha yupi ni wake na yupi sio. Believe me imenitokea nikapata jibu siku hiyo hiyo japokuwa kila nikimtaja huyo Pastor T.... kuwa sio nakuwa attacked lakini nilishapata jibu na sio wa ukweli, nimejifunza tu kutokuwa judgemental.Watanzania wenzangu nimeshtushwa sana Na ujio wa Baba Mchungaji Masanja Na mkewe.Mchungaji masanja hebu jipime elimu ya uchungaji umeipata lini Na wapi? Mchungaji masanja uchungaji in taalum hebu uwe Na Hofu ya Mungu .Naamini Uchungaji wako ni Biashara kwani hujasomea popote .
Happy New Year!!!Wajinga ni wengi .
Mwache jamaa akusanye fedha.
Wewe ni kati ya watu wanaodanganywa kila siku huko kwenye madhehebu. Mtafungwa hadi kamba mkatupwe kwenye ziwa liwakalo moto.Watanzania wenzangu nimeshtushwa sana Na ujio wa Baba Mchungaji Masanja Na mkewe.Mchungaji masanja hebu jipime elimu ya uchungaji umeipata lini Na wapi? Mchungaji masanja uchungaji in taalum hebu uwe Na Hofu ya Mungu .Naamini Uchungaji wako ni Biashara kwani hujasomea popote .
Sasa huyo ze comedian ana uchungaji gani?Uchungaji sio taaluma. Uchungaji ni karama kutoka kwa Mungu......
Ila kidunia ndio tunafanya kama taaluma hata wale wasio na wito kuwa wachungaji
Ndio maana wengi wanaishia kufanya mambo ya ajabu
Hahahaha, hebu tupia link ya hiyo page tuone, duh! Kweli jamaa ni janja hatari sana.Masanja kakamata fursa,kaanzisha facebook church,sadaka wanatoa kwa mpesa,tigo pesa au airtel money.
Kama mzee wa mipako na pombe zakeUnamuonea bure
kama kuna 'wateja why asifanye biashara?
[emoji31] [emoji31] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unamuonea bure
kama kuna 'wateja why asifanye biashara?