DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Amejiajiri, ameajiriwa na kanisa au ameajiriwa na Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masanja kakamata fursa,kaanzisha facebook church,sadaka wanatoa kwa mpesa,tigo pesa au airtel money.Nenda kampelekee sadaka hiyo usiwe mzito mzito unataka kijana mwenzako aende kukaba?!
Mjini shule jamaa anatumia kipaji chake vizuri nashangaa mtoa mada anamuonea wivuMasanja kakamata fursa,kaanzisha facebook church,sadaka wanatoa kwa mpesa,tigo pesa au airtel money.