Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Hehehheheh Mwachie Mungu atakutana naye ndipo atajuwa mbivu na mbichWatanzania wenzangu nimeshtushwa sana Na ujio wa Baba Mchungaji Masanja Na mkewe.Mchungaji masanja hebu jipime elimu ya uchungaji umeipata lini Na wapi? Mchungaji masanja uchungaji in taalum hebu uwe Na Hofu ya Mungu .Naamini Uchungaji wako ni Biashara kwani hujasomea popote .
Ndio maana mnanyweshana na deto huko makanisaniUchungaji sio taaluma. Uchungaji ni karama kutoka kwa Mungu......
Ila kidunia ndio tunafanya kama taaluma hata wale wasio na wito kuwa wachungaji
Ndio maana wengi wanaishia kufanya mambo ya ajabu
ha haaa haaaa anyway ni masuala ya imani tu!Ndio maana mnanyweshana na deto huko makanisani