Mchungaji Masanja "Mkandamizaji" Hebu uwe hofu ya Mungu

Hahaaaaaaa, nacheka kama mazuri.
Hivi kwani ni Mchungaji kikweli kweli au huwa anaigiza live?? Yaani mie najuaga ni comedy kama zile za wakenya mkuu
 
unaweza kusomea ukipenda, lakini mi naona hii ni wito, huhitaji kusomea believe me if its a calling pale unaposimama at the pulpit, sio wewe unaeongea tena! sema tu mwisho wa siku umekaribia manabii wa uongo ni wengi, ongea na Mungu wako atakuonyesha yupi ni wake na yupi sio. Believe me imenitokea nikapata jibu siku hiyo hiyo japokuwa kila nikimtaja huyo Pastor T.... kuwa sio nakuwa attacked lakini nilishapata jibu na sio wa ukweli, nimejifunza tu kutokuwa judgemental.
 
Acha kumsimanga Baba Mchungaji bhana... kwanza tangu kitambo keshasema hana kabisa na kiherehere cha kwenda kwa Baba!
 
Uchungaji ni charisma si taaluma
 
Wewe ni kati ya watu wanaodanganywa kila siku huko kwenye madhehebu. Mtafungwa hadi kamba mkatupwe kwenye ziwa liwakalo moto.
 
Uchungaji sio taaluma. Uchungaji ni karama kutoka kwa Mungu......
Ila kidunia ndio tunafanya kama taaluma hata wale wasio na wito kuwa wachungaji
Ndio maana wengi wanaishia kufanya mambo ya ajabu
Sasa huyo ze comedian ana uchungaji gani?
 
Wachungaji wote wako kibiashara sio masanja tu
 
Mtoa mada wivu unakusumbua! Who am i to judge? By Pope Francis! Fuata unalo amini wewe!
 
YESU alisomea chuo gani? @ the age of 12 aliwapa knock out magwiji wa maandiko, debate ulidumu kwa zaidi ya siku Tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…