Mchungaji Masanja "Mkandamizaji" Hebu uwe hofu ya Mungu

Sio kila maada lazima mtu uchangie hata kuwasifia wachangiaji wenzio inatosha. Kuanzia theboss na wengine mmenena vema sana.
 
Uganga na uchugaji hizi kazi hufi njaa.. Changamka acha kunyooshea watu vdole
 
Unakaa nae kila SAA? Umejuaje hajasomea? Siku hizi hata online kwenye simu au computer unasoma chochote upendacho na unapewa cheti.
 

Mpi
 
Watu bhana,mtu anamuhubiri Yesu unamuonea gere,ila akina Rey C ,Chid Benzi ,Mr Nice wanaotumia "sembe" hujaona kama wamepotoka,ila aienseaye njia nyoofu unaikataa
 
Hiyo ndio njia pekee ya kutoka kimaisha mwwnzio amekamata fursa
 
AFRICAN PENTECOSTALISM HAS GIVEN BIRTH TO A NEW BREED OF MENTALLY LAZY CHRISTIANS WHO SEE GOD AS A REWARDER OF MEDIOCRITY.

By Kay Musonda

Africa is currently experiencing another form of slavery through Pentecostalism.

We are now mentally lazy and our ability to reason scientifically has been incapacitated. The write up below gives a vivid reality of the way we think.

The African pastor won’t talk about Usain Bolt or Serena Williams. The African Pastor won’t talk about Steve Jobs or the young people in Silicon Valley reshaping our world.

They won’t talk about young American scientists spending endless hours in search of a cure to a disease that’s predominantly in the Tropical African Region.

The African pastor won’t talk about Chimamanda Ngozi Adichie or Ben Okri. In every corner of the world, there exist young men and women who have defied all odds and become successful through hard work, creativity and dedication….

The African pastor won’t talk about them neither will he ask his members to emulate the spirit of these individuals.

He would rather talk about sister Agatha who got a job she WAS NOT THE MOST QUALIFIED FOR because she prayed and fasted in line with their church programme or brother John a millionaire because he used all his salary as a seed in the church, or Papa Miracle who he laid his hands on and 3 of his children got admission in the university, or Mama Esther paid her tithe and her business started growing everywhere across the nation with no business plan, just boom, everywhere.

This has led to a new breed of mentally lazy young people who now see God as a rewarder of mediocrity.

To the African pastor, the only way to prosper is by paying your tithe and ' seeds in the church. So they will never talk about those, who have through hard work and dedication placed themselves on the world map.

No…..the African god only blesses the first 30 people that rush to the alter to drop $100 as seed. The African god abhors hard work and creative thinking, he only gives to those who sow seeds and offerings…..and those who shout “I am a millionaire” every morning and do nothing the rest of the day.

You want the Almighty to come down and help you use the talent He gave you and bless you because you are going to church to shout “Daddy I receive it” you are all jokers.

Can someone tell these jokers that irrespective of your creed, faith or religion, blessings and favours follow you once you start using your talent and become useful to your society “ The Bible tells the story of the Talents.

Use it. Blessing is already bestowed upon us. When we use it positively, we ask the Lord to bless it. The Bible says His Grace is sufficient for us.

The Western world and Asians are excelling and dominating the world. Let no imam or pastor manipulate our minds while they jollificate in wealth and splendour while our people are mostly in abject poverty.

Be Wise. Worship of God is from the heart. Study, work and pray!!!
 

Sijaona ukizungumIa padre,wewe unadhubutu kuinui kinywa chako dhidi ya Mtumishi wa bwana ,Masanja?
Utaanza mwaka vibaya ndugu,
 
Hata biblia iko waz calm down mkuu ngano na magugu achen vkue vyote Bwana wa mavuno akija yy ndo atatoa na kuvtenga ucjal wapo weng... Et kabisa niende kwa masanja aniombee...? ntakua nmerogwa
 
Sijaona ukizungumIa padre,wewe unadhubutu kuinui kinywa chako dhidi ya Mtumishi wa bwana ,Masanja?
Utaanza mwaka vibaya ndugu,
Mtumishi wa Bwanaaaa.... Wew nae ndo wale wa mzee wa upako unatshia watu kaa usubr kibert cha chuma na wachungaj wenu wa ndomboro ya solo...!
 
Anachokifanya ni nje ya neno la Mungu au ni ndani y Neno la mungu , Aende chuo asiende maadamu anamuhubiri Kristo acha ahubiri. Swala la shule ya uchungaji ni jambo lingine. Mwakasege kasomea wapi huo ualimu wake w Neno? Roho mtakatifu ni zaidi ya chuo. Yesu alisoma chuo gani? Hata kama ni biashara anafanya ingawa sitaki kuamini sana,Maadamu Kristo anahubiriwa acha afanye hiyo biashara kwa Yesu
 
Kwa nyakati zetu hizi, ukiwa unajua kuongea sana ni rahisi mno kuwa mchungaji.

Ni kama kazi ya u-MC tu!
 
It's a free market economy, free to enter and exit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…