Mchungaji Masanja "Mkandamizaji" Hebu uwe hofu ya Mungu

Uchungaji umevamiwa kwa Kweli.Masanja atakuja kuchomwa Na Mungu tena Na Pumba za mpunga!
 
Huduma za Mungu hakuna kukaa darasani eti binadamu akufunze uchungaji!. Mungu mwenyewe ni mwalimu tosha mfano alipomfundisha Paulo!. Binadamu wameharibu ukristo kwa kuamini darasan, tunasahau n karama za rohon na pia tukumbuke Mungu alisema yeye n Roho...nicea wamechafua bible! Mpaka wamepandikiza Utatu mtakatifu kwa kutoa wao jina kwa kutokuelewa Baba Mwana na Roho Mtakatifu ni nani... N mfano tu wa kuamin akili za kibinadamu japo sijamaanishi Masanja yupo sawa ama la....ila ahukumiwe kwa matendo nasio unavosema kwa kumjua Mungu uyo wa darasani.
 
Wajinga ndio waliwao faiza foxy yupo sahihi.
Kwa nini unamjibu kiudini na wakati kasema ukweli?
Masanja hana chembe hata moja ya uchungaji.
Tusiwe vipofu.
 
Alitaka kutoka na siasa za ubunge zikagoma.... Kaamua kutorokea kwenye uchungaji... Mwacheni bana..... Hiyo nayo kiki!!!!
 
Hata biblia iko waz calm down mkuu ngano na magugu achen vkue vyote Bwana wa mavuno akija yy ndo atatoa na kuvtenga ucjal wapo weng... Et kabisa niende kwa masanja aniombee...? ntakua nmerogwa


hahah ulichofanya ni kutoa magugu ilhali umeshasema 'Bwana wa mavuno akija ndiye atakayetoa na kutenga'...
 
Akili ni nywele kila mtu anazake, kama vipi anzisha na wewe!
 
Licha ya kusomea... mie kuna tukio liliniacha mdomo wazi ni pale masanja na mkwe walipopewa tuzo na nabii mmoja mwanza anaitwa malisa.... kuwa makanisani napo kuna tuzo... malisa nae ni type ya akina lusekelo kidogo tu yuko nigeria .... but cha muvi iendelee
 
Uchungaji sio taaluma. Uchungaji ni karama kutoka kwa Mungu......
Ila kidunia ndio tunafanya kama taaluma hata wale wasio na wito kuwa wachungaji
Ndio maana wengi wanaishia kufanya mambo ya ajabu
Kweli kabisa mkuu
 
Unamuonea bure,wachungaji wote ni biashara hakunamkweli hata mmoja elimu ya uchungaji tayari ameshapitia tatizo lako nini? Wajinfa ndio waliwao muache afanye buashara wakati wateja wapo.
 
Kwa hiyo wewe unafurahi MAMA yako akipita kavaa kimini mbeleyako? Kweli wajinga wapo wengi ndio maana Masanja anawashughulikia, neno "wajinga ndio waliwao" huo ni mstari ndani ya Bibilia sass hayo matusi yanakujaje.
 
Uwe na akili hata kidogo na wewe kwani uchungaji mpaka usomee? Mungu ni roho tupu hana mwili mawazo yake si yakibinadamu mungu hafundishi mwilini bali hufundisha rohoni. Kiufupi hekima ya mungu haipatikani kwa mafundisho na nadharia za kitalamu sasa kwa nini unamshambulia masanja wakati hujui chochote katika ulimwengu wa roho? Jiepushe na fitna wakati mwingine huwa mnakonda bila sababu
 
Atakuwa Mchungaji kama ataacha kila kitu na kumfuata Yesu. Otherwise anafanya Comedy
 
Siku hizi ni dili kunawengine walikuwa mabosi was forever product nao baada ya kuchacha nao wamebadili gia wachungaji sasa wanachungulia dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…