Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

Kumbe kuna namna wana wa manipulate watu kisiasa?
Ni kanuni mojawapo ya usalama wa taifa kupata watu nyeti kwa kuangalia umashuhuri wao na uwaingiza ndani yao ...usishangae mwamposa kusikia anamshabikia samia au kumsifu ......wanacho fanya ni kumwakikishia katika kazi yake ya dini kumpa ulinzi hata hakifanya ufisadi wanamkingia kifua kwa kuwa kakubali kutumia umashuhuri wake kuifagilia ccm na kufumbia macho maovu ya wanasiasa wa chama tawala....kwa sasa usije kudhubutu kumgusa zumaridi tayari ana mkataba mkononi na wahuni wa ccm na serikali yao
 
Atakosa sadaka za mbezi mwisho hasa abiria wa gari za mwendokasi.
 
Mashimo kwisha ,hatoki huyo hata akikata rufaa...atakaa jela mwaka mmoja(miezi 12)(Atatumikia theluthi mbili)(2/3*18 months =12 Months)
 
Una UTI na AMOEBA akilini mwako tangu dunia iumbwe ni lini ulisikia mkristo gaidi
Kuharibu vitu vya kikongwe na kudhulumu haki yake ni nini? Kama sio ugaidi

Wakristo ni magaidi
 
Nyumba alokua anakaa ni jirani kidogo na kwangu na kuna jamaa yangu pia alikua anakaa,walipewa notisi wapangaji wote..basi itakua yeye aliona asiondoke hivihivi
 
Nyumba alokua anakaa ni jirani kidogo na kwangu na kuna jamaa yangu pia alikua anakaa,walipewa notisi wapangaji wote..basi itakua yeye aliona asiondoke hivihivi
Gaidi apewe haki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…