Mchungaji Mastai: Amani tuliyonayo hailetwi na vyama vya siasa bali Mungu wa mbinguni, Mungu iponye Mtwara!

Mchungaji Mastai: Amani tuliyonayo hailetwi na vyama vya siasa bali Mungu wa mbinguni, Mungu iponye Mtwara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amewataka Watanzania kuwaombea wagombea wa vyama vyote tunaowapenda na tusiowapenda ili wapate kibali mbele zake Mungu.

Mastai amesema amani tuliyonayo haijaletwa na chama cha siasa bali imeletwa na Yesu Kristo mwenyewe.

Kadhalika Mchungaji ameomba rehema kwa wananchi wa Mtwara kufuatia clips zinazotembea mitandaoni zikionyesha mateso na mauaji wanayofanyiwa na magaidi.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom