Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam,Shalom!!

Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.

Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha mwimbaji WA INJILI aliyeimba wimbo wa Equemme aitwaye Osinach kuwa kifo chake kilitokana na manyanyaso ya NDOA na alitaka kuvunja NDOA ila akazuiwa na viongozi wa Dini yake, ametumia sababu hiyo kutaka kuhalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe Kwa kigezo Cha huduma.

Mchungaji Mbarikiwa amesisitiza kuwa, hakuna wito wa pekee kama anavyodai Christina Shusho wa kumwacha mume Ili kufuata huduma Bali amesukumwa na Roho ya ukahaba.

Mchungaji Mbarikiwa amedai kuwa huko mbeleni, siku Si nyingi, Msanii huyo ataonyesha wazi anachokificha sasa.

Ninakubaliana na Mchungaji Mbarikiwa kuwa Christina Shusho hayuko sahihi Kwa kauli na vitendo vyake sababu anaingiza Roho ya kuvunja NDOA Kwa wanawake wakristo Walio ndani ya NDOA sababu ni Yeye ni public figure.

Tuendelee kumkemea mtu huyu Ili asilivuruge Kanisa na kuvunja moyo mabinti ambao hawajaolewa kupata HOFU ya changamoto za ndani ya NDOA.

NB: NDOA na iheshimiwe na watu wote, na kifo pekee ndio kitatamatisha mkataba wa NDOA.

Source: Shuhuda za kikosikazi Cha INJILI Tv.

Karibuni🙏

Pia soma
Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu
 
Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Unadhani wote wamelaaniwa?

Wapo waliobarikiwa. Na Hilo ndilo JINA lake alilopewa na wazazi.
 
Salaam,Shalom!!

Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.

Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha mwimbaji WA INJILI aliyeimba wimbo wa Equemme aitwaye Osinach kuwa kifo chake kilitokana na manyanyaso ya NDOA na alitaka kuvunja NDOA ila akazuiwa na viongozi wa Dini yake, ametumia sababu hiyo kutaka kuhalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe Kwa kigezo Cha huduma.

Mchungaji Mbarikiwa amesisitiza kuwa, hakuna wito wa pekee kama anavyodai Christina Shusho wa kumwacha mume Ili kufuata huduma Bali amesukumwa na Roho ya ukahaba.

Mchungaji Mbarikiwa amedai kuwa huko mbeleni, siku Si nyingi, Msanii huyo ataonyesha wazi anachokificha sasa.

Ninakubaliana na Mchungaji Mbarikiwa kuwa Christina Shusho hayuko sahihi Kwa kauli na vitendo vyake sababu anaingiza Roho ya kuvunja NDOA Kwa wanawake wakristo Walio ndani ya NDOA sababu ni Yeye ni public figure.

Tuendelee kumkemea mtu huyu Ili asilivuruge Kanisa na kuvunja moyo mabinti ambao hawajaolewa kupata HOFU ya changamoto za ndani ya NDOA.

NB: NDOA na iheshimiwe na watu wote, na kifo pekee ndio kitatamatisha mkataba wa NDOA.

Source: Shuhuda za kikosikazi Cha INJILI Tv.

Karibuni🙏
Kusema kweli Mungu huchukia kuachana(Kwa sana ndoa)
Ndoa ilianzishwa ni taasisi ilioanzishwa na Mungu Mwenyewe,Taasisi hii iitwayo ndoa ni Chuo kidogo cha injili.Chuo ambacho wanaojiunga nacho wajiunge kutoka moyoni na sikufuata pesa nk.
Christina Muimbaji mashuhuri kwa chini utafakari ulikotoka na mmeo na unakoenda sasa! Mbengu uimbandayo iwe yako na kizazi chako na sio nje yako maana ni mbengu mbaya isiyoendana na sifa zako(Mtumishi wa Mungu kwa wito wa Uimbaji).
Mungu anakuuliza:Nalikupanda ikiwa mzabibu mwema ! Umegeukaje kuwa mzabibu mwitu?
Mungu akutafakarishe kuhusu uwamuzi wako !
 
Salaam,Shalom!!

Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.

Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha mwimbaji WA INJILI aliyeimba wimbo wa Equemme aitwaye Osinach kuwa kifo chake kilitokana na manyanyaso ya NDOA na alitaka kuvunja NDOA ila akazuiwa na viongozi wa Dini yake, ametumia sababu hiyo kutaka kuhalalisha uamuzi wake wa kutengana na mumewe Kwa kigezo Cha huduma.

Mchungaji Mbarikiwa amesisitiza kuwa, hakuna wito wa pekee kama anavyodai Christina Shusho wa kumwacha mume Ili kufuata huduma Bali amesukumwa na Roho ya ukahaba.

Mchungaji Mbarikiwa amedai kuwa huko mbeleni, siku Si nyingi, Msanii huyo ataonyesha wazi anachokificha sasa.

Ninakubaliana na Mchungaji Mbarikiwa kuwa Christina Shusho hayuko sahihi Kwa kauli na vitendo vyake sababu anaingiza Roho ya kuvunja NDOA Kwa wanawake wakristo Walio ndani ya NDOA sababu ni Yeye ni public figure.

Tuendelee kumkemea mtu huyu Ili asilivuruge Kanisa na kuvunja moyo mabinti ambao hawajaolewa kupata HOFU ya changamoto za ndani ya NDOA.

NB: NDOA na iheshimiwe na watu wote, na kifo pekee ndio kitatamatisha mkataba wa NDOA.

Source: Shuhuda za kikosikazi Cha INJILI Tv.

Karibuni🙏
Malaya ni kama Kunguru hafugiki..na atawapata Malaya wenzake Makunguru yasiyofugika
 
Huyo mchungaji anayejiita mbarikiwa na yeye ni mchungaji uchwara tu, nyuma ya pazia ana makando kando yake maovu mengi tu..

Yeye anafuatilia maisha ya wengine kama nani?

Mtu kaamua kuachana na mmewe yeye ina muhusu nini?

Hawa wachungaji uchwara wanojivika uungu mtu ndio waovu wakubwa.
 
Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.

Mbarikiwa ni jina hilo mzee kama yalivyo majina mengine tu kama Joseph, Ally, Hawa n.k
 
Back
Top Bottom