Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Ndiyo maana umewaita wadanganyifu.

Kumbe Sala inatakiwa ifanane na matendo yao. Huwezi kunukuu andiko usiloliamini na ukalitumia kwa utetezi.
 
Kwa kifupi yule ni muasi, kaasi imani, hapaswi kuhubiri injili aliyoiasi ndoani kwake. Hapaswi pia kuimba injili, hakuna atakayemuelewa vema
 
Kwa kifupi yule ni muasi, kaasi imani, hapaswi kuhubiri injili aliyoiasi ndoani kwake. Hapaswi pia kuimba injili, hakuna atakayemuelewa vema
 
NGOJA DK AJE KUKUJIBU NAPITA TU
 
NGOJA DK AJE KUKUJIBU NAPITA TU
 
WATUMISHI WA MUNGU WENGI WANAISHI MAISHA MAGUMU KWENYENNDOA WENGINE WANATAMAN KUACHANA WANAWAZA MAJINAYAO KUCHAFULIWA SIRIYAKOOO
.....DNT TOUCH MA ANNOINTING

UKIFA KAMUULIZE YULE KATIBU WA MCH NANIIINO KAMA UTAKUTANA NAE
 
Huyo mbarikiwa ni pschopath tu apuuzwe
 
Kama wamepata changamoto inayotokana na kunyanyaswa kwanini wasivunje ndoa?
 
Haya mambo ya gossib ndio Watanzania Wana enjoy sana
 
mchungaji kulaa ahiooo umenifurahishaa Sanaa hahaha...
 

Attachments

  • IMG-20240414-WA0009.jpg
    62.7 KB · Views: 5
Kuna beliefs
Pia kuna faith.

Watu waliopo ktk dini wengi huongozwa na beliefs na sio faith.

Beliefs inaishikilia akili
Na faith inashikiliwa na Akili.

Ukifatilia watu wengi wanaamini dini na sio kumwamini Mungu. Hawa wana beliefs na sio faith.

Ila MTU mwenye faith yeye anamini ktk mungu kwanza na dini ndo zinafuata.

Wanaosema shusho kakosea au kapatia wote hawa walibidi wawe neutral ingekuwa wanaelewa maana ya beliefs na faith.

MTU kuimba injili ,kuwa mchungaji kusali kanisani yote haya hayana uhusiano na MTU kuwa msafi.

Shusho ameamua kuishi ktk uhalisia wake na ukifatilia kwa undani watu wengi wapo Kama shusho sema hawana sauti ya kuongea na kusikika.


Watu wa dini wengi wamepumbazika kifikra Sana.
 
Kwa kifupi yule ni muasi, kaasi imani, hapaswi kuhubiri injili aliyoiasi ndoani kwake. Hapaswi pia kuimba injili, hakuna atakayemuelewa vema
kwa kifupi shusho yupo sahihi na anatenda kazi ya Mungu huo uasi umeuona wewe tu. Hakuna haja ya kueleza kinagaubaga kwanini katoka kwenye ndoa yake. Hata angefanya hivyo bado binadamu wangeendelea kumtukana tu. Sababu tumeumbwa kuongea.
Kwanini mnalazimisha yeye kapotoka na si mume wake? Unajua alikuwa anapitia magumu kiasi gani? Au sababu mnamuona anacheka kwenye kamera basi mnafikir yupo sawa?
Nasema hivi shusho yupo sahihi na wengi wanaompinga ni wanatumiwa na ibilisi kumkwamisha katika kazi yake.
Kwann mtu anahitimisha shusho ni malaya? Yaani kuna ugumu gani kusema mume wake alikuwa malaya au mume wake alikuwa akimnyanyasa?
Kisa mume wake ni mchungaji? Mchungaji kitu gani wakat wapo waliomkana yesu na walikuwa wakila na kushinda pamoja!
Shusho yupo sahihi kabisa kufanya kazi ya mungu. Muda mwingine dunia haiwezi kukuelewa . Uwe tayari kutukanwa, uwe tayari kuacha kila kitu, uwe tayr kupoteza mali, uwe tayari hata kufa kww ajili ya imani. Na huo ndio msingi wa Imani yake.

Ikiwa mkono wako au mguu wako unakusababisha utende dhambi, ukate, uutupilie mbali. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja au mguu mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili na miguu miwili lakini ukatupwa katika moto wa milele. Na kama jicho lako lina kusababisha utende dhambi ling’oe, ulitupe mbali. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na jicho moja, kuliko kuwa na macho mawili lakini ukatupwa katika moto wa Jehena.
 
Naweza kutumia vilevile andiko hilo ingawa siamini.
HAPANA.

Siyo sawa Wala HAIRUHUSIWI. Chagua kuamini ama kutokuamini.

Maana siyo unachagua vya kuamini wakati unavyoviamini vimefungamanishwa na usivyoviamini.

Kama nguruwe ni haramu usile mkia wa nguruwe halafu useme hujala nguruwe.

Kikristo uzinzi ni dhambi Kwa kuwa wakristo wanaamini Mungu alitoa Amri kumi. Na ndani ya hizo Amri kumi ndimo Kuna Amri mojawapo inayosema Usizini.

Sasa wewe kama huamini kuwa kuna MUNGU hutakiwi kuingilia mtizamo wa wanaoamini kuna Mungu kuhusu uzinzi.

Maana Lazima wewe utumie chanzo chako kuwa uzinzi ni halali ama ni haramu bila ya kuingilia wanaoamini kuwa Bibilia imesema uzinzi ni haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…