LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
yule ni public figure/proxmit anachofanya/kuongea kinaathiri hadhira yake. Kwa kuwa ana umaarufu ni sahihi jina lake kutajwa chanya au hasiKavunja ndoa yake sio ndoa za wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule ni public figure/proxmit anachofanya/kuongea kinaathiri hadhira yake. Kwa kuwa ana umaarufu ni sahihi jina lake kutajwa chanya au hasiKavunja ndoa yake sio ndoa za wengine.
Akae kimya,Sasa kama si kazi yako ndio umuache na maisha yake!!!
Kwa sababu chumba hichi ni kwa ajili ya staff only hivyo mtu mwingine hapaswi kukitumia. Itakapotokea tatizo la hatari ndani ya Jengo ni kheri kumuacha huyo asiye staff sababu sheria inasema haruhusiwi.Sifa ya nukuu ya maandikio rasmi ni eidha uyatumie au uyakatae.
Hakuna kuyakataa nusu na kuyakubali nusu.
Shape ya kwawaida tu.Jamaa Yuko sahihi , huyo manzi shape inamzuzua wahuni watapiga saaana
Akae kimya vipi??amevunja Sheria za nchi???Akae kimya,
Si kutumia madhabahu kuhalalisha kuvunja NDOA.
Tutaendelea kumkemea Hadi anyamaze na kuhesabu maneno yake kabla ya kuongea.
Mumewe mbona kanyamaza, BUSARA itumike, anyamaze, aendelee na kuimba bila kuanza kejeli.
Shusho ni Joyce Kiria wa 2Mtu wa aina hii asipokemewa, wanawake Walio katika NDOA, watakuwa wakipata changamoto kidogo wanavunja NDOA,
Atasababisha viburi Kwa wanawake ndani ya NDOA, watamwona kama shujaa wao,
Shetani na ashindwe.
Shusho afanye usanii wake, kamwe asijifiche madhabahuni.
anemkejeli nani?Akae kimya,
Si kutumia madhabahu kuhalalisha kuvunja NDOA.
Tutaendelea kumkemea Hadi anyamaze na kuhesabu maneno yake kabla ya kuongea.
Mumewe mbona kanyamaza, BUSARA itumike, anyamaze, aendelee na kuimba bila kuanza kejeli.
Sheria na Katiba inayotumika hapa ni BIBLIA.Akae kimya vipi??amevunja Sheria za nchi???
Yule Joyce alivuka mipaka!!Shusho ni Joyce Kiria wa 2
Kwahiyo hapa jamii forum ni kanisaniSheria na Katiba inayotumika hapa ni BIBLIA.
Uwe unaelewa basi.
Alianza hivihivi alipoolewa akawa kinyaYule Joyce alivuka mipaka!!
Ndio.Kwahiyo hapa jamii forum ni kanisani
Tukiwa bar pia ni kanisani.....Kuna mkusanyiko wa watu!Ndio.
Kwani unajua tafsiri ya Kanisa?
shusho kibiblia yupo sawa kabisa na ni jambo sahihi alilofanya.Sheria na Katiba inayotumika hapa ni BIBLIA.
Uwe unaelewa basi.
Nakwambia hivi, Haya ni mafikirio yako tu.Just give a wink and a nod to justice. If you don't believe in them, you don't have the legal authority to use them.
Utakuwa umelewa,Tukiwa bar pia ni kanisani.....Kuna mkusanyiko wa watu!
Mzee Shusho ni huyo aliyemwacha au kabla?Halafu tunakosea, huyu malaya anaitwa christina hilo shusho ni jina la aliyekuwa mumewe mzee Shusho nae ni mchungaji.
anataka kutuambia kwamba sababu mtu si mweusi hivyo hana haki za kupigania uhuru wa mtu mweusi sababu yeye ni white Man.Nakwambia hivi, Haya ni mafikirio yako tu.
Kutumia kitu fulani si lazima uki amini.
Nitakupa mfano,
Wanasiasa waki Africa hufungua mikutano kwa sala, kisha wanazungumza uongo na kuwadanganya wananchi kisha humaliza kwa kufunga mkutano na sala.
Ilhali ukishatumia sala/ swala hupaswi kuzungumza uongo.
We maskini choka mbaya uliyekosa kazi ya kufanya, Badala ya kufuatilia haki zako za msingi unakuja kufuatilia maisha ya mtu binafsi yasiyo kuhusu na wala hayana uhusiano wowote na jamii.Kueneza kitu ambacho binafsi hukiamini, ni kuleta taharuki katika JAMII.
Umemjibu vizuri sana huyo Pepo katika form ya mwanadamu.
Ulichokiandika, hakuna connection na alichokisema Allen.anataka kutuambia kwamba sababu mtu si mweusi hivyo hana haki za kupigania uhuru wa mtu mweusi sababu yeye ni white Man.
Huyu jamaa ni mtu wa ajabu sana na huenda ana matatizo