Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Ndio ya kikristo haivunjiki. Hawa makahaba wanajiamulia.
 
Christina Shusho nilikuwa namuelewa sana enzi hizo Campus night sikosi kufuatilia tamasha, wayback 2008-2010....Leo siamini ninachokiona.
 
Ndoa aslimia kubwa zimeshakufa, watu wanaishi tu eti kuogopa jamii. Ambao sio wanafiki ndio wamekua na ujasiri wa kuzivunja . Mimi sikutaka kuwa mnafiki nikaivunjilia mbali.
(Malaki 2:16)

Maana Mimi Nachukia kuachana, asema BWANA.

Mungu akujaalie upatane na kurudi kwa mwenzio wako wa NDOA.
 
Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.
Hii inaweza kuwa kesho mahakamani, hivi na hawa wachungaji wana kinga kama wabunge?
 
Hii inaweza kuwa kesho mahakamani, hivi na hawa wachungaji wana kinga kama wabunge?
Mchungaji anayo Kinga,

Ukimpeleka court, atakuongesha bible quotes alizotumia kusema hayo. Na amesema hayo madhabahuni.

Pia hajamwita Malaya, Bali amesema ni umalaya/ mfumo
 
Ndoa aslimia kubwa zimeshakufa, watu wanaishi tu eti kuogopa jamii. Ambao sio wanafiki ndio wamekua na ujasiri wa kuzivunja . Mimi sikutaka kuwa mnafiki nikaivunjilia mbali.
Kama wewe ni mmama,wanaume wapenda michepuko itakua waoifurahi kinoma.Utakua uliulizwa tu,hivi kweli mmeachana,nisije nikafumaniwa?
Ukajibu NDIYO,we lala tu usiwe na wasiwasi
 
Kama wewe ni mmama,wanaume wapenda michepuko itakua waoifurahi kinoma.Utakua uliulizwa tu,hivi kweli mmeachana,nisije nikafumaniwa?
Ukajibu NDIYO,we lala tu usiwe na wasiwasi
Aa wapi, nina mpenzi wangu mwingine kitambo sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…