Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Hata huyo naye mzushi tu, "Mchungaji Mbarikiwa",ndo nini?!,amebarikiwa na nani!?,Kuna ushahidi au ndo kujikweza tu!?,siku hizi yameibuka mambo ya ajabu sana. Mtu anajiita mchungaji Mbarikiwa na watu wanamuona kama Mtakatifu fulani hivi.
Usipaniki.. hayo ni majina wanajipa kama wasanii wa muziki. Kuna mbarikiwa, kuhani, bulldozer, nabii mkuu, mzee wa upako, na wengine wengi.
 
Arudi Kwa mumewe wayamalize, ndipo atoke kushuhudia wengine.

Kiongozi, lazima uwe na maisha yenye ushuhuda.
Ikiwa mkono wako au mguu wako unakusababisha utende dhambi, ukate, uutupilie mbali. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja au mguu mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili na miguu miwili lakini ukatupwa katika moto wa milele.

Wewe kwanini unahitimisha kwamba yeye ni malaya? Kwanini malaya asiwe mume wake? Kama mtu anajaribu kukukwamisha katika imani yako huna budi kuachana naye iwe kwa gharama yoyte at the end of the time Imani ni suala la mtu binafs na si mume au baba au mama au mke anasema nn.

Yupo sahihi kabisa
 
Mtu wa aina hii asipokemewa, wanawake Walio katika NDOA, watakuwa wakipata changamoto kidogo wanavunja NDOA,

Atasababisha viburi Kwa wanawake ndani ya NDOA, watamwona kama shujaa wao,

Shetani na ashindwe.

Shusho afanye usanii wake, kamwe asijifiche madhabahuni.
Halafu tunakosea, huyu malaya anaitwa christina hilo shusho ni jina la aliyekuwa mumewe mzee Shusho nae ni mchungaji.
 
Kwani angekaa kimya tu akaendelea na mipango yake kungekuwa na shida gani?

Huyu nae ni kama Flora Mbasha aliyechangamka
 
Sisi ni chumvi ya Dunia, chumvi ikiharibika, utaweka nini ndani yake Ili irudi kuwa sawa?

Hapa lazima tumkemee vilivyo, Ili wanaomsikikiza waweze kujua amekosea wapi na kuepuka haya.
Mnashindwa kukemea ufisadi, ubadhirifu na uhujumu uchumi wa nchi yenu ambao unaleta madhara makubwa kwenye maisha yenu kama wananchi.

Mnang'ang'ana na maisha ya mtu mmoja ambaye hana impact yeyote kwenye maisha ya jamii.

Unafikiri ndoa ni lazima kwa kila binti?
 
Ikiwa mkono wako au mguu wako unakusababisha utende dhambi, ukate, uutupilie mbali. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja au mguu mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili na miguu miwili lakini ukatupwa katika moto wa milele.

Wewe kwanini unahitimisha kwamba yeye ni malaya? Kwanini malaya asiwe mume wake? Kama mtu anajaribu kukukwamisha katika imani yako huna budi kuachana naye iwe kwa gharama yoyte at the end of the time Imani ni suala la mtu binafs na si mume au baba au mama au mke anasema nn.

Yupo sahihi kabisa
Yale mavazi ya kubana yenye kuonyesha maungo yote ndio huduma Ile?

Ujue matumizi ya maandiko. Pale hamna huduma.
 
Wewe Pepo ushindwe. Ninakujua u nani!!
 
tupe wewe muongozo wa mavazi according to bible wanasema kwamba uvaaje?
Zile nguo zilikuwa zina shida gani? Kuna muongozo wowote ambao biblia umetoa unaonyesha zile nguo si nzuri?
 
Ikiwa mkono wako au mguu wako unakusababisha utende dhambi, ukate, uutupilie mbali. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja au mguu mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili na miguu miwili lakini ukatupwa katika moto wa milele.

Wewe kwanini unahitimisha kwamba yeye ni malaya? Kwanini malaya asiwe mume wake? Kama mtu anajaribu kukukwamisha katika imani yako huna budi kuachana naye iwe kwa gharama yoyte at the end of the time Imani ni suala la mtu binafs na si mume au baba au mama au mke anasema nn.

Yupo sahihi kabisa
Wewe mpumbavu, mzee shusho ni mchungaji na anajulikana kwa uadilifu wake toka akiwa bàndari tanga 2005.
 
Wewe Pepo ushindwe. Ninakujua u nani!!
Jibu hoja acha viroja wewe.

Naku uliza hivi, unafuatilia maisha ya wengine wewe kama nani?

Mnapenda kufuatilia maisha ya mtu binafsi kuliko kufuatilia maisha yenu na haki zenu za msingi.

Kwa nini una ingilia uhuru wa mtu alioamua mwenyewe kutokuwa na ndoa?

Aliyekwambia ndoa ni lazima ni nani?
 
NDOA Si muhimu kule kwenu kuzimu ulikotokea.

Kwetu NDOA ni amri, na kifo tu ndicho kitatenganisha NDOA.
 
Wewe mpumbavu, mzee shusho ni mchungaji na anajulikana kwa uadilifu wake toka akiwa bàndari tanga 2005.
ni nani mpumbavu kati yako mimi na wewe?
Kama yuda alikuwa akila na kuzunguka na yesu muda wote na akamsaliti yeye ni nani? Mpumbavu husema huyu mtu namuamini na muadilifu hawez kuwa mkengeufu.
Kwanini asiwe mkengeufu yeye na awe cristina shusho? Yaan kwann lazima yeye awe sawa na sio mke wake?
ukiendelea hiv dunia itakufundisha
 
NDOA Si muhimu kule kwenu kuzimu ulikotokea.

Kwetu NDOA ni amri, na kifo tu ndicho kitatenganisha NDOA.
Unafikiri hii dunia yote ina ongozwa na imani yako hiyo inayosema ndoa ni amri?

Kama ndoa ni amri, ulishawahi kusikia mtu amefungwa jela kwa vile hana ndoa?

Au unaleta na kufosi imani yako uchwara inayo kuaminisha ndoa ni amri kwa kila mtu?
 
Shusho ni mtu mzima; na anayepaswa kuendesha maisha yake atakavyo bila kuingiliwa na mtu. Tu wepesi sana wa kuhukumu wengine hata kama hatujui hasa wana/lichopitia.

Kama ndoa imechacha, haina maelewano au ina abuse ya aina yo yote, ni haki kwa binti kuondoka katika ndoa hiyo kuliko kukomaa nayo na mwishowe kuishia kupata madhara makubwa ya kimwili, kisaikolojia na mengineyo. Na kama wanandoa hawana maelewano mpaka kwenye mambo ya muhimu kama huduma na wito, ni haki pia kwa mmoja wao kuondoka na kwenda kuhangaikia ndoto zake - awe me au ke!

Nadhani zama za mwanamke kukaa akiteseka hata kukosa nafasi ya kufanya akipendacho kisa eti ndoa zimeshapitwa na wakati wanaume tunalazimisha tu. Ndiyo maana ndoa nyingi zinakufa siku hizi...
 
Back
Top Bottom