Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

Unayaamini!?

Maana isije kuwa umeandika kimakosa kuwa huyaamini.
Nimetumia mafundisho hayo kujenga hoja kwamba mchungaji anaye amini mafundisho ya kidini atakosoaje dhambi za wengine ilhali mafundisho yake hayasemi hivyo?
 
Aisee
 
Ogopa sana mwanamke anayejihushisha na dini ama kumchukulia mchungaji kuwa ndiyo kila kitu maishani mwake. Wanawake wengi wanaojihushisha na mambo ya dini wana mengi wanayaficha nyuma ya pazia kwa kupitia dini. Wengi wao ni makahaba tu, never take them seriously.
 
Ni Wachache wa aina hiyo,

Na ndio tunaowakemea,

Ikiwa husali, mkeo akaanza kusali, Mshukuru Mungu, maana hukuombea na familia yote hubarikiwa.

Muhimu aendelee kukuheshimu, kukutii na kukushauri pia uanze kusali.

Ubarikiwe.
 
Hiyo hoja ungeipeleka serikalini sababu wapo wanawake ni wachungaji wana makanisa na yamesajiliwa!!!
KATIBA ya wakristo ni BIBLIA, Si Ile ya JMT,

Narudia, kulingana na Katiba ya Kanisa, yaani BIBLIA,

Cheo Cha Mchungaji mwanamke hakipo.
 
Mbarikiwa kasema ukweli kabisa. Shusho qumer inamuwasha ndio maana amekimbilia kwa vijana akina Diamond wamzibue. Na wale mbwa hawmuachi salama. Watamt0mba mpaka ashike adabu yake.
 
KATIBA ya wakristo ni BIBLIA, Si Ile ya JMT,

Narudia, kulingana na Katiba ya Kanisa, yaani BIBLIA,

Cheo Cha Mchungaji mwanamke hakipo.
Sasa peleka malalamiko Yako serikalini au mahakamani ukiwa na hiyo biblia ili wachungaji wanawake makanisa yao yafungwe!
 
Sasa peleka malalamiko Yako serikalini au mahakamani ukiwa na hiyo biblia ili wachungaji wanawake makanisa yao yafungwe!
Siwezi kufanya hivyo, maana Si KAZI yangu hiyo,

Pia pamoja na Cheo hicho kutokuwapo katika BIBLIA, wapo wanawake Mungu amewahi waita akawaweka katika uchungaji Kwa muda, walipopatikana wanaume, waliacha na kurudi katika nafasi zao za awali.
 
Just give a wink and a nod to justice. If you don't believe in them, you don't have the legal authority to use them.
Kueneza kitu ambacho binafsi hukiamini, ni kuleta taharuki katika JAMII.

Umemjibu vizuri sana huyo Pepo katika form ya mwanadamu.
 
Siwezi kufanya hivyo, maana Si KAZI yangu hiyo,

Pia pamoja na Cheo hicho kutokuwapo katika BIBLIA, wapo wanawake Mungu amewahi waita akawaweka katika uchungaji Kwa muda, walipopatikana wanaume, waliacha na kurudi katika nafasi zao za awali.
Sasa kama si kazi yako ndio umuache na maisha yake!!!
 
Ndoa isiyovunjika ni Ile aliyoiunganisha Mungu. Ila iliyounganishwa na Tamaa za mwili ( Shetani) inavunjika bila shaka yeyote. Kikubwa usikie Kwa Mungu mwenyewe ( Mungu akusemeshe)
Ukitoka Kwenye ndoa ukawa mzinzi Basi wewe ni mzinzi hiyo ni kesi nyingine
 
Mchungaji Shusho ni mtumishi wa Mungu.

Hapo kigezo Cha kuvunja NDOA kwamba haikutokana na Mungu kinakosekana.

Christina akae hivyo hivyo, na tusisikie kashfa yoyote Ili asizini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…