Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

watu wanaoenda kwa manabii na mitume hawa wa sasa especially wakina mwakinani hawana akili hata tone yaani mnageuzwa mazuzu mnasha ngilia tu, duh na cha ajabu zaidi mitume na manadii wooote ni kina mwakinaninani.
 
hao hufukuzwa kama si potential kanisani na ni kitisho kwa mchungaji. Strategy ya kuwafukuza wachawi hupangwa vizuri sana kwa kushirikisha watoto wanaojua kuongea na kujieleza kuwa huwa wanaenda kuzimu kwa kushirikiana na baadhi ya washirika. Inapangwa jumapili moja maalumu ya kuwataja washirika hao wachawi na watoto hao hupita safu zote kuanzia madhabahuni mpaka kwa washirika. Mtoto akikunyoshea kidole basi we ni mchawi unapaswa kusimama na mara moja utatakiwa utoke uende zako. Watoto watapita kila benchi na kiti kukagua washirika wachawi. Mwisho wa zoezi wachawi wote huondolewa kanisani kwa staili hiyo. Ki msingi wengine si wachawi na uchawi hawaujui ila wanafukuzwa kwa kuwa ni wapinzani wa mchungaji na wengine si watoaji. Kuna pastari mmoja alifukuza robo tatu ya washirika wake kwa staili ya kuwapakazia ni wachawi.
Mkuu sijakusoma, mbona unakua kama unatetea, halafu comment zingine kama unapondea tena?
 
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti.

Kisha akampigia huyo binti akiwa hapo hapo madhahabuni kwa simu ya Eliya, na mwisho alimtimua Eliya ibadani.

Tukumbuke kuwa huyu mchungaji ametoka gerezani hivi karibuni baada ya kushinda rufaa yake ambapo awali alikua amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila usajili.

Nimeambatanisha clip hapa chini.

Je, unazungumziaje, hii ni sawa Mchungaji kukagua simu za waumini wake tena hadharani?

Mimi naona ni unajisi wa wazi wa haki ya faragha kwa waumini wake, mbaya zaidi inakua kama udhalilishaji kwa kufanya haya hadharani.

Hii inasikitisha sana.

View attachment 2977744
KALOGWA ANATAFYTA UMAARUFU KM
COMESY TUPU
 
watu wanaoenda kwa manabii na mitume hawa wa sasa especially wakina mwakinani hawana akili hata tone yaani mnageuzwa mazuzu mnasha ngilia tu, duh na cha ajabu zaidi mitume na manadii wooote ni kina mwakinaninani.
Mkuu unawaonea wivu akina Mwakinani? 😂
 
Hao si wanakondoo wake ana haki ya kuwafanya chochote anachopenda.Ujinga hauna mipaka.
 
Ugalatia ni umbulula kwa kweli,

1714656483844.png

1714657041689.png


1714656790178.png

1714656966703.png
 
Ni sawa tu kujenga nidhamu ya kanisa lake hiyo ni kama alifanya ziara ya kustukiza
 
Wakianza kusanitise simu makanisani siendi tena walai
 
Back
Top Bottom