Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili zenu nyote bado changa, nawe umeamini kabisa hilo igizo?Mkiambiwa njoeni Islam mnasita. Huku hakuna kukaguliwa simu wala kutimuliwa masjid.
Binadamu ni wakosa ndio mana tunafanya toba ili tusamehewe zambi zetu.
Ni mtoto mmoja, ambae ndo alikua mtoto wa PEKEE (walikua na mtoto huyo huyo mmoja tu). Na amekua akisema mara kwa mara kuwa serikali inahusika kwa asilimia 100 katika kifo hicho.Huyu Mchungaji amefiwa na watoto wawili wakubwa tu kwa mfululizo, I'm I right ?
Siku wapagawe wachungaji waite simu za watu waone humo maajabu ya dunia
Nakubaliana na wewe.Ndio nashangaa sana kuona hivyo
Huyo mzinifu atabadilika vipi kama utamfukuza !
Hapo ni kumfafanulia vizuri Amri ya sita na kumpatia mafundisho kazaa juu ya ngono zembe
Ni wajibu Kwa mwalimu kufundisha , hatakama Kuna wasio elewa
Nawasio elewa huwezi kuwafukuza inapaswa utenge muda wa ziada Kwa ajili kuwasaidia zaidi
utaratibu wa kumfukuza mzinzi huanzia mbali kwa kuonywa na washirika wenzake wanafuatia viongozi wa ngazi za chini wanafuata wa ngazi za kati, halafu ngazi za juu kisha mchungaji anamalizia. Kama mzinzi alionywa na wote hao hakuacha tabia yake kifuatacho ni mchungaji kumtenga na asishiriki ibada. Akishupaza shingo anatangazwa wazi kuwa kashindikana na afukuzwe kwa nguvu atoke kanisani akaendelee na uzinzi wake kwa uhuru, wanasema wamemkabidhi kwa shetani ashughulike naye na wamuone ni mmataifa na mtoza ushuru, si mpendwa tenaNdio nashangaa sana kuona hivyo
Huyo mzinifu atabadilika vipi kama utamfukuza !
Hapo ni kumfafanulia vizuri Amri ya sita na kumpatia mafundisho kazaa juu ya ngono zembe
Ni wajibu Kwa mwalimu kufundisha , hatakama Kuna wasio elewa
Nawasio elewa huwezi kuwafukuza inapaswa utenge muda wa ziada Kwa ajili kuwasaidia zaidi
Lakini mhusika aliridhia kuingiliwa faragha yake, maana password kaitaja mwenyewe..!!Huyu mpumbavu ni wa kufunguliwa mashitaka kwa kuingilia faragha ya mtu. Inatekiwa awekwe ndani hadi akili imkae sawa
Hakukua na ridhaa paleLakini mhusika aliridhia kuingiliwa faragha yake, maana password kaitaja mwenyewe..!!
Hii ni kwa uzinzi tu? Vipi uchawi? Unafiki? Ufitini? Ulevi? n.k.?utaratibu wa kumfukuza mzinzi huanzia mbali kwa kuonywa na washirika wenzake wanafuatia viongozi wa ngazi za chini wafuata wa ngazi za kati, halafu ngazi za juu kisha mchungaji anamalizia. Kama mzinzi alionywa na wote hao hakuacha tabia yake kifuatacho ni mchungaji kumtenga na asishiriki ibada. Akishupaza shingo anatangazwa wazi kuwa kashindikana na afukuzwe kwa nguvu atoke kanisani akaendelee na uzinzi wake kwa uhuru, wanasema wamemkabidhi kwa shetani ashughulike naye na wamuone ni mmataifa na mtoza ushuru, si mpendwa tena
Kwa nini unasema hivyo? Hukuona alivyoitaja password? Angeweza kukataa kutaja password pia.Hakukua na ridhaa pale
Inawezekana kabisa nia ya mchungaji ni njema. Ila njia inayotumika.Mchungaji hajakosea! Anadhibiti uasherati Kanisani.Na huenda alikuwa ameshapewa taarifa kuhusu mienendo ya huyo kijana juu ya binti huyo.
Hahahahahaha....!!Mungu anatumiaje gharama kumuokoa mtu aliyemuumba?
Tudhibitishie ni lini ulimuona MUNGU na ulimuonea wapi ili na sisi tuende tikaonane nae ana kwa ana, ili tumueleze shida zetu.
hao hufukuzwa kama si potential kanisani na ni kitisho kwa mchungaji. Strategy ya kuwafukuza wachawi hupangwa vizuri sana kwa kushirikisha watoto wanaojua kuongea na kujieleza kuwa huwa wanaenda kuzimu kwa kushirikiana na baadhi ya washirika. Inapangwa jumapili moja maalumu ya kuwataja washirika hao wachawi na watoto hao hupita safu zote kuanzia madhabahuni mpaka kwa washirika. Mtoto akikunyoshea kidole basi we ni mchawi unapaswa kusimama na mara moja utatakiwa utoke uende zako. Watoto watapita kila benchi na kiti kukagua washirika wachawi. Mwisho wa zoezi wachawi wote huondolewa kanisani kwa staili hiyo. Ki msingi wengine si wachawi na uchawi hawaujui ila wanafukuzwa kwa kuwa ni wapinzani wa mchungaji na wengine si watoaji. Kuna pastari mmoja alifukuza robo tatu ya washirika wake kwa staili ya kuwapakazia ni wachawi.Hii ni kwa uzinzi tu? Vipi uchawi? Unafiki? Ufitini? Ulevi? n.k.?
LOTH HEMA
Mcheki Kimaro au Mushi. Huwa ni waaminifu.Ndo shida ya kusali kwenye kanisa la familia.
Anyway nnampango wa kufungua kanisa, natafuta mhazini (mtunza fedha) awe muadilifu, ampende sana Mungu na asipende Pesa. Kama unaweza nicheki pm.
Kuna siku nimeenda kwa mganga mida ya asbh nikakuta mtaalam kama kachoka ikabidi nimuulize vipi inakuaje.. akadai kachoka kwasababu usiku mzima alikuwa anawaganga wachungaji ambao ni wateja wakehao hufukuzwa kama si potential kanisani na ni kitisho kwa mchungaji. Strategy ya kuwafukuza wachawi hupangwa vizuri sana kwa kushirikisha watoto wanaojua kuongea na kujieleza kuwa huwa wanaenda kuzimu kwa kushirikiana na baadhi ya washirika. Inapangwa jumapili moja maalumu ya kuwataja washirika hao wachawi na watoto hao hupita safu zote kuanzia madhabahuni mpaka kwa washirika. Mtoto akikunyoshea kidole basi we ni mchawi unapaswa kusimama na mara moja utatakiwa utoke uende zako. Watoto watapita kila benchi na kiti kukagua washirika wachawi. Mwisho wa zoezi wachawi wote huondolewa kanisani kwa staili hiyo. Ki msingi wengine si wachawi na uchawi hawaujui ila wanafukuzwa kwa kuwa ni wapinzani wa mchungaji na wengine si watoaji. Kuna pastari mmoja alifukuza robo tatu ya washirika wake kwa staili ya kuwapakazia ni wachawi.
Psychopath maana yake ni nini?Huyu mchungaji ni msenge, ningemtukana matusi hajawahi kuyaskia. Mambo ya psychopaths hayo
Hahahahahaha...!! Mganga alitoa siri za wateja wake.Kuna siku nimeenda kwa mganga mida ya asbh nikakuta mtaalam kama kachoka ikabidi nimuulize vipi inakuaje.. akadai kachoka kwasababu usiku mzima alikuwa anawaganga wachungaji ambao ni wateja wake
Kuna demu alikuwa hataki kukubali kwa mbinu za kidiplomasia nikaamua nichukue hatua za kimila.Hahahahahaha...!! Mganga alitoa siri za wateja wake.
Ila na wewe ulifuata nini kwa mganga mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan had nimepata goosebumps! LolNaona umepata mshtuko wa moyo[emoji23][emoji23]