Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Hahahahahawatu wanaoenda kwa manabii na mitume hawa wa sasa especially wakina mwakinani hawana akili hata tone yaani mnageuzwa mazuzu mnasha ngilia tu, duh na cha ajabu zaidi mitume na manadii wooote ni kina mwakinaninani.
Mkuu sijakusoma, mbona unakua kama unatetea, halafu comment zingine kama unapondea tena?hao hufukuzwa kama si potential kanisani na ni kitisho kwa mchungaji. Strategy ya kuwafukuza wachawi hupangwa vizuri sana kwa kushirikisha watoto wanaojua kuongea na kujieleza kuwa huwa wanaenda kuzimu kwa kushirikiana na baadhi ya washirika. Inapangwa jumapili moja maalumu ya kuwataja washirika hao wachawi na watoto hao hupita safu zote kuanzia madhabahuni mpaka kwa washirika. Mtoto akikunyoshea kidole basi we ni mchawi unapaswa kusimama na mara moja utatakiwa utoke uende zako. Watoto watapita kila benchi na kiti kukagua washirika wachawi. Mwisho wa zoezi wachawi wote huondolewa kanisani kwa staili hiyo. Ki msingi wengine si wachawi na uchawi hawaujui ila wanafukuzwa kwa kuwa ni wapinzani wa mchungaji na wengine si watoaji. Kuna pastari mmoja alifukuza robo tatu ya washirika wake kwa staili ya kuwapakazia ni wachawi.
Vipi ulifanikisha kumtia kimiani kwa mbinu za kimila?Kuna demu alikuwa hataki kukubali kwa mbinu za kidiplomasia nikaamua nichukue hatua za kimila.
Ingekua ni wewe ungetaja password?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan had nimepata goosebumps! Lol
KALOGWA ANATAFYTA UMAARUFU KMMchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti.
Kisha akampigia huyo binti akiwa hapo hapo madhahabuni kwa simu ya Eliya, na mwisho alimtimua Eliya ibadani.
Tukumbuke kuwa huyu mchungaji ametoka gerezani hivi karibuni baada ya kushinda rufaa yake ambapo awali alikua amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila usajili.
Nimeambatanisha clip hapa chini.
Je, unazungumziaje, hii ni sawa Mchungaji kukagua simu za waumini wake tena hadharani?
Mimi naona ni unajisi wa wazi wa haki ya faragha kwa waumini wake, mbaya zaidi inakua kama udhalilishaji kwa kufanya haya hadharani.
Hii inasikitisha sana.
View attachment 2977744
Mkuu unawaonea wivu akina Mwakinani? 😂watu wanaoenda kwa manabii na mitume hawa wa sasa especially wakina mwakinani hawana akili hata tone yaani mnageuzwa mazuzu mnasha ngilia tu, duh na cha ajabu zaidi mitume na manadii wooote ni kina mwakinaninani.
Chini ya masaa 24 ingawa mtaalamu alisema itachukua masaa 72 kwa mujibu wa dawa zake.Vipi ulifanikisha kumyia kimiani kwa mbinu za kimila?
ThubutuuuIngekua ni wewe ungetaja password?
😂😂mchungaji si angezimia kwanza kwa yaliyomo!Thubutuuu
Tufungulie code mkuu.Exoterically amekosea ila essoterically yupo sawa