Mchungaji Mgogo wewe sema huna upako acha kuzunguka mbuyu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mara nyingi Mchungaji Mgogo anaonekana kwenye clips akisema " Mimi sifanyi injili ya kitapeli kukwambia nikuombee utapata gari blah blah blah"

Baba Mchungaji Wacha kuzunguka mbuyu, wewe sema tu huna upako utaeleweka.🤣🤣🤣

Kwa Mwamposa watu wanaenda wanaombewa na wanapata magari.

Tafuta Upako .
 
Thubutu!!
 
Kwahiyo ulipata upako mkuu?

Na hv upo unatembelea matako ya nyani...


#UVIVU NI MBAYA SANA.
 
Ugonjwa wa akili ni kweli..... Usiache kunywa vidonge....
 
Upako ndio utaahira gani?
 
Wewe ndio wale wajinga. Mwamposa ni tapeli kama wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…