Mchungaji Mgogo wewe sema huna upako acha kuzunguka mbuyu

Mara nyingi Mchungaji Mgogo anaonekana kwenye clips akisema " Mimi sifanyi injili ya kitapeli kukwambia nikuombee utapata gari blah blah blah"

Baba Mchungaji Wacha kuzunguka mbuyu, wewe sema tu huna upako utaeleweka.🤣🤣🤣

Kwa Mwamposa watu wanaenda wanaombewa na wanapata magari.

Tafuta Upako .
Nani aliombewa kwa mwamposa akapata gari kama sio nyinyi ndo mnaenda kwa mwamposa kumchangia anunue gari just kwa utapeli wa kiroho
 
Tafuta Upako uache kumuona Mwamposa tapeli
Tapeli tu. What is upako kwanza? Mbona watu maisha yanaenda kabla ya mwamposa na ata akipoa yataenda? Mnatangatanga tu, TB Joshua kiko wapi? Nyie mna shida pahala. Upako ni nonsense. Unaupimaje ? Au hisia tu, au mdo 'macho ya kiroho' 😂, watu bana. Atakuja mwingine hao tena. Mnaangamia kwa kukosa maarifa. Scams.
 
Am not even a Christian
 
Endelea kusema Scams wale unaowaona wanahangaika kwenye makanisa ya mitume na manabii usidhani wajinga? Wengi wao wanakua wameshahangaika sana kama kwa waganga wametembea mpaka nje ya tanzania lakini hawajafanikiwa..
Wengi unaowaona pale ni ile hatua ya mwisho ya kukata tamaa Wanaenda kupata Faraja na Uponyaji kwa Mwenyezi Mungu.

Usiseme scams Hayajakukuta, Narudia hayajakukuta ya walimwengu
 
Tushakutana na hatari na mabalaa lakini tumechomoka bila kwenda kwa hao matapeli. Usikariri.
 
Endelea kusema Scams wale unaowaona wanahangaika kwenye makanisa ya mitume na manabii usidhani wajinga? Wengi wao wanakua wameshahangaika sana kama kwa waganga wametembea mpaka nje ya tanzania lakini hawajafanikiwa..
Wengi unaowaona pale ni ile hatua ya mwisho ya kukata tamaa Wanaenda kupata Faraja na Uponyaji kwa Mwenyezi Mungu.

Usiseme scams Hayajakukuta, Narudia hayajakukuta ya walimwengu
Fact
 
Mara nyingi Mchungaji Mgogo anaonekana kwenye clips akisema " Mimi sifanyi injili ya kitapeli kukwambia nikuombee utapata gari blah blah blah"

Baba Mchungaji Wacha kuzunguka mbuyu, wewe sema tu huna upako utaeleweka.🤣🤣🤣

Kwa Mwamposa watu wanaenda wanaombewa na wanapata magari.

Tafuta Upako .
Akili za st Kayumba hizi tabu tupu, mnaaza uchawi tu na mapepo
 
UNAJUA KUTOKA KAWE MPAKA OCEAN ROAD HOSPITAL YA CANCER SIO MBALI
AU UPAKO UNATIBU MAGONJWA YASIO ONEKANA TU!?
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    43.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom