Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliombewa kwa mwamposa akapata gari kama sio nyinyi ndo mnaenda kwa mwamposa kumchangia anunue gari just kwa utapeli wa kirohoMara nyingi Mchungaji Mgogo anaonekana kwenye clips akisema " Mimi sifanyi injili ya kitapeli kukwambia nikuombee utapata gari blah blah blah"
Baba Mchungaji Wacha kuzunguka mbuyu, wewe sema tu huna upako utaeleweka.🤣🤣🤣
Kwa Mwamposa watu wanaenda wanaombewa na wanapata magari.
Tafuta Upako .
Tapeli tu. What is upako kwanza? Mbona watu maisha yanaenda kabla ya mwamposa na ata akipoa yataenda? Mnatangatanga tu, TB Joshua kiko wapi? Nyie mna shida pahala. Upako ni nonsense. Unaupimaje ? Au hisia tu, au mdo 'macho ya kiroho' 😂, watu bana. Atakuja mwingine hao tena. Mnaangamia kwa kukosa maarifa. Scams.Tafuta Upako uache kumuona Mwamposa tapeli
SikuzoteU
Uko single?
Am not even a ChristianTapeli tu. What is upako kwanza? Mbona watu maisha yanaenda kabla ya mwamposa na ata akipoa yataenda? Mnatangatanga tu, TB Joshua kiko wapi? Nyie mna shida pahala. Upako ni nonsense. Unaupimaje ? Au hisia tu, au mdo 'macho ya kiroho' 😂, watu bana. Atakuja mwingine hao tena. Mnaangamia kwa kukosa maarifa. Scams.
Inahitaji kusugua goti kweli kweli!;Kuutafuta upako sio mchezo mchezo.. Unaambiwa nabii Eliya alikua anasugua goti kweli kweli mpka akaota suguKuwa na upako ni shughuli pevu si blaablaa
Endelea kusema Scams wale unaowaona wanahangaika kwenye makanisa ya mitume na manabii usidhani wajinga? Wengi wao wanakua wameshahangaika sana kama kwa waganga wametembea mpaka nje ya tanzania lakini hawajafanikiwa..Tapeli tu. What is upako kwanza? Mbona watu maisha yanaenda kabla ya mwamposa na ata akipoa yataenda? Mnatangatanga tu, TB Joshua kiko wapi? Nyie mna shida pahala. Upako ni nonsense. Unaupimaje ? Au hisia tu, au mdo 'macho ya kiroho' 😂, watu bana. Atakuja mwingine hao tena. Mnaangamia kwa kukosa maarifa. Scams.
Tushakutana na hatari na mabalaa lakini tumechomoka bila kwenda kwa hao matapeli. Usikariri.Endelea kusema Scams wale unaowaona wanahangaika kwenye makanisa ya mitume na manabii usidhani wajinga? Wengi wao wanakua wameshahangaika sana kama kwa waganga wametembea mpaka nje ya tanzania lakini hawajafanikiwa..
Wengi unaowaona pale ni ile hatua ya mwisho ya kukata tamaa Wanaenda kupata Faraja na Uponyaji kwa Mwenyezi Mungu.
Usiseme scams Hayajakukuta, Narudia hayajakukuta ya walimwengu
FactEndelea kusema Scams wale unaowaona wanahangaika kwenye makanisa ya mitume na manabii usidhani wajinga? Wengi wao wanakua wameshahangaika sana kama kwa waganga wametembea mpaka nje ya tanzania lakini hawajafanikiwa..
Wengi unaowaona pale ni ile hatua ya mwisho ya kukata tamaa Wanaenda kupata Faraja na Uponyaji kwa Mwenyezi Mungu.
Usiseme scams Hayajakukuta, Narudia hayajakukuta ya walimwengu
Akili za st Kayumba hizi tabu tupu, mnaaza uchawi tu na mapepoMara nyingi Mchungaji Mgogo anaonekana kwenye clips akisema " Mimi sifanyi injili ya kitapeli kukwambia nikuombee utapata gari blah blah blah"
Baba Mchungaji Wacha kuzunguka mbuyu, wewe sema tu huna upako utaeleweka.🤣🤣🤣
Kwa Mwamposa watu wanaenda wanaombewa na wanapata magari.
Tafuta Upako .
Hakuna upako ni ujanja tu wa kitapeliTafuta upako
hata mganga wa kienyeji ana upako kumbeNguvu za kufanya mambo yawe vile unavyo taka wewe